International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Matumaini mapya ya kusitisha vita vya GAZA yaanza kuonekana mara baada ya Wapatanishi (Misri na Katari) kueleza kuwa, kundi la wapiganaji la HAMAS limebadili Msimamo wake wa awali wa kutotoa...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad! Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari. Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
15 December 2024 Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0 Na Musonda Mwewa ZNBC Timu ya madaktari maarufu wa...
2 Reactions
3 Replies
322 Views
Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake. Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso. Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na...
13 Reactions
96 Replies
4K Views
Kituo Cha televisheni Cha ABC kimeamua kukubali kumlipa Rais Donald Trump kiasi Cha Bilioni 37 za kitanzania kama fidia ya kumchafulia jina Rais huyo mteule wa Marekani. Rais mteule Donald Trump...
4 Reactions
19 Replies
997 Views
JACOB ZUMA NA MKUKI WA UMKHOTO WeSIZWE NDANI YA ANC Rais mstaafu Jacob Zuma wa South Africa aleta mtikisiko katika chama cha ANC baada ya kusema hataiunga mkono chama cha ANC bali atakiunga...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Pamoja na mifumo ya ulinzi waliyokuwa wanaitegemea Iran kupigwa na Askari WAKIKE wa Israel na kuharibiwa mpaka Iran wameogopa kujibu shambulizi, haikuieshia hapo. Njia aliyokuwa anaitegemea Iran...
21 Reactions
41 Replies
2K Views
Hamjamboni wakuu, hasa hasa waajemi wa buza Ka utani kangu ni haka:Oparesheni ||| lini jamani pamepoa sana aunilipigwa kwenye mshono mnauguza vidonda kwanza Cheza na mtoa roho netanyahu, Amsheni dude
1 Reactions
23 Replies
630 Views
Hawa waasi wa Syria wamepata nguvu kutokana na mambo makuu mawili 1. Kushindwa kwa Hezbollah huko Palestina. Hezbollah ndo walikuwa kikwazo kikubwa kwao 2. Hali mbaya ya Iran pamoja na Syria 3...
26 Reactions
100 Replies
4K Views
Huku jeshi la Israel likiendelea kujichukulia maeneo ya Syria bila kukemewa na mshirika wake,Marekani.Antnthony Blinken tangu waasi wamuangushe Bashar Alassad amekuwa halali,anazunguka kama pia...
1 Reactions
9 Replies
530 Views
Wakuu, Wabunge wa Korea Kusini wamepiga kura Jumamosi kumuondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol kufuatia jaribio lake lililoshindikana la kutangaza hali ya kijeshi, hatua ambayo ilisababisha...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwaka 1994 Bashar aliitwa nyumbani kutoka Uk alipokuwa akipata doctorate katika fani ya ophthalmologist. Mwito huu ni kutokana n kifo cha kaka yake Bassel katika ajali ya gari, Bassel ndio...
5 Reactions
7 Replies
812 Views
yuma ya tawala mbalimbali za dunia, kuna nguvu inayotenda kazi kisirisiri. Direction ya dunia inatokana na hii nguvu. Hapa duniani tupata matokeo tu. Hii nguvu ndiyo yenye mamlaka ya nani aongoza...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Nimeona barua inayodaiwa kupatikana kwenye kavazi la aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad ikimhusisha kuwa alikuwa akitumiwa na intelijensia ya Israel kufanikisha baadhi ya mipango yao. Lugha...
1 Reactions
5 Replies
738 Views
Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja...
8 Reactions
86 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Usiku mwema inshallah IAF continues preparations for potential...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Maneno haya aliyazungumza aliyekuwa kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, May 25th, 2013. Yeye hayupo, na kwa maana halisi huo muhimili wa Iran hapo mashariki ya kati ndio umevunjika! Yahya...
12 Reactions
69 Replies
3K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi); Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam...
16 Reactions
201 Replies
21K Views
Hapa duniani jamani tunapita tu.... Mtu aliye kiongozi katika nafasi ya u - Rais au nyingine yoyote serikalini unawezaje kuwa na mali zote hizi wakati muda wako mwingi, akili na mawazo ni...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…