International Forum

News and Stories from rest of the World
Israeli Air Force (IAF) F-35I “Adir” stealth fighter jets reportedly carried out a “successful” airstrike to destroy a “large convoy” of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC)- Quds...
3 Reactions
60 Replies
4K Views
Kenya imepata kiti muhimu cha uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuishinda Djibouti katika awamu ya pili ya kupiga kura Alhamisi. Hii inamaanisha kuwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
It's not quite difficult nowadays to spot a car from a distance, as they all have a signature look and easy to spot. Whether from its rare view or not, and some cars have a signature colour, Red...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati huo huo, Rais wa Marekani, Donald Trump amewataka maafisa wa afya kupunguza kasi ya kuwapima watu virusi vya corona. Akizungumza katika wa kuzinduliwa kwa kampeni yake kuwania kuchaguliwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Na ilhali ameifanyia mengi mazuri Marekani na Duniani kwa ujumla. Kama ilivyo kwa obama ukiachana ubaya wake na mazuri yake yalikuwepo lakini bwana yule tuzo kwake zilikuwa zinamiminika kila...
1 Reactions
64 Replies
3K Views
Syria should replace its ‘failed’ Russian S-300 and Pantsir air defence systems (ADS) with the China made Red Flag series such as the Hongqi 9, the export version of FD-2000 land-based ADS...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tafiti zimeonyesha kuwa makundi mengi ya FaceBook yanayoanzishwa kupinga kubaki ndani yamekuwa yakipata wafuasi wengi, huku wengi kati yao wakishinikiza kufuta zuio hilo, wamechoka kubaki ndani...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
  • Closed
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia. === Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo...
21 Reactions
587 Replies
90K Views
Habari! Serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump imemshitaki mshauri mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, John Bolton, ili kuzuia kuchapishwa kwa kitabu chake kipya kinachohusu wakati wake...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Sweden ni mojawapo ya nchi ambazo hazikuweka zuio la watu au lockdown baada ya ugonjwa wa corona kuanza. Wapinzani wengi wa lockdown waliitumia Sweden kama mfano kusema kwamba lockdown itavuruga...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Donald Trump akiwa katika kampeni mji wa Tulsa, alisema kuwa serikali yake imepambana vizuri dhidi ya virusi vya corona. Amesisitiza ugonjwa wa virusi hivyo ungeweza kupewa majina mengi bora...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I wonder African Union delays and unable to solve many african problems within Africa until other Europeans and US to intervene African affairs 1. Libya crisis -until Russia, Turkey and...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amesaini sheria Jumatano kuweka vikwazo dhidi ya wale wanaohusika na ukandamizwaji wa Waislamu wa Uighur katika mkoa wa magharibi wa Xinjiang wa China, Ikulu ya White imesema...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Media and general education has always painted a Europe that is decades ahead when it comes to civilization and development. The posh neighborhoods, lovely infrastructure, the usually attractive...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali Mashambulizi hayo pia yamevuruga na...
4 Reactions
90 Replies
6K Views
Hivi sasa, janga la virusi vya Corona linaenea kwa kasi barani Afrika. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika, hadi kufikia tarehe 14 Juni, nchi 54 barani...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Tofauti na ilivyotangazwa na Wizara ya Sheria nchini humo, Mwendesha Mashtaka mwenye wadhifa wa juu, Geoffrey Berman amesema hajajiuzulu na hana mpango wa kufanya hivyo Amesema amesikia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
China imewafungulia mashtaka ya Ujasusi raia wawili wa #Canada Michael Kovrig na Michael Spavor ambao wamekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Kovrig na Spavor wanashikiliwa #China...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya Vyama vya Upinzani kuwa havitapata nafasi, huku akihoji mantiki ya kuipinga Serikali. Aidha, amevisihi Vyombo vya Habari na Watetezi wa Haki za...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Jogoo Maurice, ambaye alishtakiwa kwa sababu ya kuwika kila asubuhi, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 6. Jogoo huyo alishtakiwa kwa kupiga kelele na wanandoa waliostaafu ambao walikuwa wakati...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom