International Forum

News and Stories from rest of the World
Jana nilikuwa nawasikiliza hawa BBC wakijadili mahusiano ya China na Africa pia wakichambua hotuba ya Rais Xi. Aminini wazungu wanaumia mno ushawishi wa China unavyozidi kukua barani Africa...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
When oil was discovered in the Norwegian continental shelf in 1969, Norway was very aware of the finite nature of petroleum, and didn't waste any time legislating policies to manage the new-found...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Burundi imemuapisha rais mpya wa taifa hilo , Evariste Ndayishimiye, katika hafla iliofanyika mbele ya raia wa taifa hilo na baadhi ya viongozi kutoka mataifa tofauti. Katika kiapo chake rais...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Who is Kim Yo Jong, sister of North Korea’s leader? 5 things to know
0 Reactions
0 Replies
745 Views
YEMEN: HUENDA MAMILIONI YA WATU WAKAPATA #CORONA NA MAELFU WAKAPOTEZA MAISHA Ripoti ya Kamati ya Shirika la Kimataifa la Kutoa Misaada (IRC) imesema huenda mamilioni ya wananchi wa Yemen...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hadi kufikia jana Alhamisi, wafanyakazi wapatato 730 katika machinjio ya jimbo la North Rhine-Westphalia (NRW) nchini Ujerumani wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kupimwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Facebook imeondosha mtandaoni matangazo ya kampeni ya rais Donald Trump kwa kutumia alama zilizokuwa za utawala wa kinazi wa Ujerumani. Facebook imesema tangazo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kamishna mkuu wa shirika la wakimbizi duniani Filippo Grandi. Takriban watu milioni 80 kote duniani walilazimika kuyahama makaazi yao kutokana na machafuko na mateso, ikiwa ni idadi kubwa kuwahi...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Japan imeondoa masharti yote ya safari za ndani, na Waziri Mkuu Shinzo Abe amehimiza wananchi kuweka bidii na kujihusisha na shughuli za kijamii na kiuchumi ili kusaidia kukuza uchumi Abe ametoa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Korea Kaskazini iliilipua ofisi yake yenye mahusiano na Korea Kusini huko Kaesong. Tukio hilo lilitangulizwa na tahadhari ya siku kadhaa na saa chache baada ya kutoa vitisho vingine kuhusu hatua...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Hali inazidi kuwa tete, hawa ndio ndugu muda wowote watazichapa, hawana muda wa kusubiri corona iishe. North Korea has blown up its liaison office with the South in a dramatic escalation of...
1 Reactions
70 Replies
8K Views
Huyu ni Professor Steve Loche, mhadhiri wa chuo kimoja katika jimbo la Massachusetts na ufuatao ni mkasa uliowahi kumkuta kwa sababu tu mi mtu mweusi...anaeleza: “This is what I wore to work...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais Juan Orlando Hernández (51) amesema yeye pamoja na Mkewe Ana García Carías (51) na wafanyakazi wake wawili wamepata maambukizi ya COVID19. Akihutubia taifa, Rais Hernández amesema alianza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mshauri wa zamani Taifa kuhusiana na masuala ya usalama Jonh Bolton amesema kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump aliiomba china imsaidie ashinde uchaguzi wa marekani utakaofanyika mapema mwaka...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Mkutano wa ngazi ya juu wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika leo hapa Beijing. Katika salamu zake kwa mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China amesema, China inapenda...
1 Reactions
5 Replies
846 Views
Credit: Harry Robertson UK government borrowing could hit £300bn this year as tax receipts collapse and the Treasury pumps money into the economy to tackle the fallout from coronavirus...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mapema leo kaka yake marehemu Goerge Flyode ameliomba shirika la umoja wa mataifa kuangalia jinsi gani watu/waamerika weusi wanakuwa salama ili kulinda usalama wa wao duniani. Gianna Flyod...
1 Reactions
2 Replies
999 Views
Alitawala kwa nguvu na hakuondoka mpaka Bunge limpe mshahara kwenye nchi masikini. Sasa jiulize yuko wapi leo. Hawa viongozi wetu wa Mungu watu wajue huwezi kujua kesho kitatokea nini! Burundi's...
7 Reactions
65 Replies
7K Views
Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19. Ameahidi kuwa mara chanjo ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom