Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Amani iwe nanyi wanajamii forum,kuna rafiki yangu ana tabia ambayo may be isnt good that's anapenda kujamba ovyo hata mbele za watu bila aibu unakuta ndo ile mpo na watu wa heshma hafu ye ana have...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna kipind nilikua na tatzo la kuwai kumaliza,katika tendo la ndoa,lkn baadhi ya watu wakanishauri ni2mie njia ya kubana mkojo,eti itanifanya nichelewe kumaliza.., lakini,baada ya kufanya zoezi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nna rafiki yangu mmoja kipenzi sana na siku zote alikuwa mcheshi na mwenye furaha sana,lakini mambo yalibadilika sana baada ya kupata ajali na kuumia sehemu za kiuno,amekuwa anakunywa sana na...
0 Reactions
21 Replies
27K Views
wana jf naomba kwa hili, mwenzenu korodani zangu kuna mda nakuwa nahisi kama kuna moto unaziunguza, afu na mashine nakuwa nahisi ni ya barid! naomba ushauri wa kitaalamu.
0 Reactions
2 Replies
854 Views
In this day and age many people use their laptop as their primary computer, so it’s important to have it setup correctly in order to avoid back pain, neck pain, and other musculoskeletal injuries...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
wana jf habari zenu? natumaini mnafikiri mambo mengi sana juu ya kuwasaidia wa tz wenzetu ili kupunguza ama kuondoa kabisa matatizo yanayowakabili. mimi nategemea kuwa baba hivi karibuni. mke...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii hali ya mtoto mchanga kuzaliwa na hatimaye kichwa kuendelea kuwa kikubwa inasababishwa na nini? siku hizi nimekuwa nikishuhudia ongezeko kubwa la watoto wa jinsi hii na hata ukitembelea...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Uso wangu una mafuta sana hebu nisaidieni dawa gani ya kutumia.hata ya asili nayo huenda ikafaa tu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeungua moto kama mwezi mmoja uliopita, nimejaribu dawa nyingi za kumeza pamoja na kupaka sijapata matokeo mazuri, naomba kwa mtu anayejua dawa za vidonda sugu aniambie aina na inapatikana wapi
0 Reactions
6 Replies
16K Views
Hello Wanajamii, Napenda kutanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu anayetufanya tuendelee kuwepo na kuweza kufanikisha yale yote yatupasayo kufanya katika kutimiza wajibu wetu. Hapa napenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
msaada wa kupata dawa ya driclor naomba mwenye kujua inapatikana wapi anieleze au awasiliane nami kwa pm au 0718064602 mi niko dar
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, I have a frnd of mine amekuwa ana spray deodorant sehemu za siri yaani akishamaliza kuspray pande za kwapa then off he goes down thea and sprays comfortably. Well alikuwa room...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Ninaomba kutupia swali hili hapa ambalo limekua na majibu mchanganyiko na kwa kuwa hapa kuna kada na kadhia mbalimbali huenda tutapata jibu muafaka.....wapo wanaosema kwamba ni maumbile, wapo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni kweli kuna kifaa cha kujipimia HIV bila kwenda hospital? Kama kipo kinapatikana wapi na kinaitwaje?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Whole Foods Used to Treat Peptic Ulcers Figure 1. Photograph of a peptic ulcer taken during an upper endoscopy. This ulcer is a "gastric ulcer" because it is located in the stomach. Peptic...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu zangu! Kunaugonjwa unaitwa BAWASILI kwa maelezo nilinayo ni kua mgonjwa sehem zake za nyuma za siri yan anus hutoa nyama nje na anapo jisaidia hutoka damu. Nataka kujua tiba yake, na mazara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello! Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa wa fistula, (anal fistula) anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jaman naomba kuuliza inawezekana kutembea na msichana mwenye HIV na usipate maambukizi kwa mshindo mmoja bila kuchubuka?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Allah be He blessed and exalted had exploited many creatures to serve human as He almighty didn’t create anything without a purpose …. "Skin secretions from a...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Habar wapendwa nimepatwa na tatizo tumbo langu linalia as if kuna maporomoko ya mto vle mpaka nakosa raha,nimepima typhod cna,,,ila cjatumia dawa za minyoo muda mrf au itakua hyo??????? msaada...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…