Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

MARADHI YANAYOTIBU HABBA SODA Matumizi Ya Kunufaisha Ya Habbat Sawdaa-1 (haba Soda – Chembe Nyeusi Imefasiriwa na Iliyasa bint Maulaanah Al-Bukhaariy anasimulia kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Naomba kujuzwa wapi kipimo hiki kina patikana na garama zake na kinatumikaje kama lengo ni kuthibitisha nasaba ya mtoto
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HORMONAL IMBALANCE husababishwa na nini? INA MADHARA GANI na TIBA YAKE NINI nawasilisha waraia
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Kuna dada yangu yupo katika ndoa kwa miaka nane sasa hajabahatika kupata mtoto. Amehangaika kwenye mahospitali mengi na mpaka alishafanyiwa operation ya mirija kwani walisema mirija yake imeziba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau wangu na wataalamu kiukweli jukwaaani hapa pamekuwa mahali kwangu pa msaada kwa muda mrefu sana kwa\ baadhi ya mambo ninayojionea humu, leo wakuu nimekuja na jambo la ndevu kwa wadada na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za asubuhi waungwana, nina mdogo wangu ana makovu mawili makubwa kwenye miguu yaan kila mguu una kovu, yeye aliwahi kuumia udogoni sasa makovu ni makubwa afu yana nature kama karatasi vile...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
jaman nsaidien dawa kuondoa tatuu plz, kwa anaejua bac nahitaji ushauri
0 Reactions
9 Replies
1K Views
msaada wadau mwanangu ana mwaka na miez miwili ,ameanguka kutoka kwenye kiti hadi chini akaangukia meno mawili ya juu mbele na yanatingishika japo ni kidogo sio sana na damu imetoka nying...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari za asubuhi.. naomba mwenye kujua gharama za kuweka jino sawa ni shiling ngapi na wapi naeza pata huduma hiyo anisaidie.. asanteni.
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Unapata uchovu wa hali ya juu asubuhi unapoamka mpaka unatetemeka. Lakini ukipata kifungua kinywa uchovu unapotea. pia ukichelewa kupata mlo wa mchana unaapata njaa kali mpaka unatetemeka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi naomba nieleweshwe kama mschana/mke anaweza akawa na tatizo la upungufu wa nguvu/hamu ya kufanya tendo.sababu kama zipo,na solutions if pocbo.ni hayo.doctor plz...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Haijathibitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania. Lakini ni bora kujaribu maana haikugharimu sana. Kwasababu licha ya kuwa ni tiba lakini pia ni lishe. Miracle Drink : Carrot, Beet...
5 Reactions
25 Replies
20K Views
We never thought we could get HIV. We were wrong: These eight heterosexual British women show how pervasive HIV has become, but it's no longer a death sentence Rachel Dilly, 48, contracted HIV...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa heshimayenu na vijana wenzangu habari zenu. nduguzanguni nimekuwa na mahusiano na binti flani sasa huyu binti anamekuwa na mahanjumati ya kisasa na sisi tulizaliwa wakati wa juliasi...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Wadau naombeni msaada wenu wa kiushari na kitabibu pia, Nina mwanangu anasumbuliwa sana na kifua muda mrefu,ni mtoto wa miaka miwili,leo nimempeleka kwa speacilist amempima na ametoa majibu kua...
1 Reactions
44 Replies
30K Views
Heshima mbele wakuu. Ninafanya mazoezin kila sikun asubuhi si unajua afya na pumzi kwa ajili ya mambo yetu yale, Unaweza ukaishia Chalize maake hiyo spidii yake usipime. Sasa basi magoti yanakuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wana jukwaa la afya ,,,,nilitaka kujua kwa uthibitisho wa kisayansi na sio mambo ya hewani,,,kama kunywa maji ya baridi wakati wa joto inasaidia kupunguza joto la mwili/inapoza au kunywa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Madaktari nahitaji msaada wenu jamani, Leo kuanzia saa tatu kamili asubuhi hii ninatakiwa niongoze kikao flani ambacho kitatupeleka mpaka saa saba bila kupumzika. Sasa kimeibuka kituko cha...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
habari zenu wanajamii! nina ujauzito wa miezi 9 sasa lakn nina tatizo la kulala usingizi mzito kila wakati!kadri cku znavyoendelea huwa nazidi kulala sana! asubuhi nikishaamka nakunywa chai nzuri...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni wazi maendeleo yanaambatana na vitu vingi, nimeweza kuepuka masterB (kujichua) kwakua nimejua madhara yake. ila naomba mnijuze nini madhara ya kunyonya vagina/penis. na mke wangu atapata...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…