Naitaji msaada wenu hivi kipindi cha kubalehe unakuta uume hauja kuwa vizuri na mtu kasha anza kupiga punyeto hvi kutokana na kufanya hivyo kunaweza sababisha uume usikue tena.
Nimeanzisha utaratibu wa kuanza kunywa kahawa
kabla ya kwenda mazoezini. Nimejikuta nikiwa mchangamfu
kupita kiasi na mwili kutamani kuendelea na mazoezi zaidi na
zaidi.
1. Je kwa utaratibu huu...
Haya mawe yanayouzwa kwa mbwebwe nyingi ya kwamba yanao uwezo wa kuondoa sumu ya nyoka yananipa maswali kadhaa ikiwayo:
- je ni kweli yanaondoa sumu ya nyoka?;
- je yanaondoa aina zote za sumu...
Wana JF heshima mbele
Kuna tatizo linanikosesha usingizi kwani nina wasiwasi.
Leo hii kuna ndugu yetu kakimbizwa muhimbili. Tatizo lake mimba imetungwa nje ya kizazi. Kwa maelezo ya ndugu...
TAFITI za kisayansi zimebaini kuwa nguo za ndani hasa zinazobana kwa wanaume na zile za aina ya nailoni (nylon) zinaathiri uwezo wa mbegu za kiume, hivyo kushindwa kutunga mimba.
Kwa habari zaidi...
Habari ndugu zanguni!
naombeni msaada ju ya tatizo hili:
skio haliumi(halina maumivu) bali linamngurumo wa sauti mfano wa mdudu nyenze mlio ambao hunikera skioni na kunipa hofu maana si hali ya...
Jamani naombeni mnishauri mwenzenu, demu wangu kapima na ana -[negative]. hivi kiafya kuna madhara gani ambayo naweza kupata, hususani katika kazaa watoo. Inasemekana kwamba watoto wanafariki, je...
Habari naitwa francis mathias nina mchumba wangu anapenda sana kubemba mimba lakini nashindwa kupangialia tarehe yake ya hatari .Nanimefuatilia mzunguko wake wa hedhi kwa mda miezi mitatu kwa...
Kwa kawaida mwanamume anayeishi maeneo ya joto anapaswa kuwa makini sana, ili kuhifadhi vizuri manii yake anatakiwa kutumia mavazi yenye kupitisha hewa, alisema Dk Massawe.
TAFITI za kisayansi...
Frederica Michael,mwanamke anayelalamikia kipimo cha DNA.
KWA UFUPI
‘Nilimpenda mno mume wangu Mushi, Mungu anajua, lakini ameniacha kwa sababu ya majibu ya DNA ambayo nina hakika...
Habari madoctor wa familia ya Jf natumai hamjambo.
Shemeji yenu anaomba msaada wenu wa kiudakitari kwa miaka minne iliyopita alijaliwa kupata mtoto,na alikuwa anatumia sindano kupanga uzazi kwa...
Alhamisi jion wk hii, mshkaji wangu kaja geto.
Kwa hali isiyo ya kawaida akawa anajikuna sana kenye ANUS PART , kwa kuibia tu dizain flan nisimuone.
Lkn nikagundua hili ni tatizo Nikahoji...
Nimekuwa najiuliza hivi pombe pamoja na kukatazwa na imani tofauti tofauti, Madaktari kuwazuia baadhi ya wagonjwa, na watu wengi kupewa ushauri waache pombe.
Lakini cha ajabu pombe inazidi...
jamani nani anafahamu hospitali za india zinazotibu mambo ya infertility ambayo ni ya uhakika kwenye huduma ya ivf na gharama zake
je aga khan kuna gyno mzuri, coz i real want to have a baby guys
Wadau, Naomba tusaidiane katika kujadili hili suala la watoto ambao wamefikisha miaka 10 au zaidi kuendelea kukojoa kitandani, wakiwa wamelala usiku. Je, tataizo ni nini? na matibabu yake ni yapi?
Jumapili iliyopita nilijisikia kizunguzungu na kichwa kuwa kizito.Nikaenda hospitali wakanipima pressure wakaona 123/75.Wakapima damu na kuona sina maleria bali nina Typhoip.Nikapewa dawa za...