Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu nimeandikwa dawa ya Dapoxetine naomba kujua kazi yake ni nin na madhara yake ni yepi... Nimeandikwa kutuma Kila siku kidonge kimoja kwa siku30. Kidonge Cha mg60
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Sijawahi kuona popote Headex ikiandikwa kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake na ni combination nzuri ya NSAIDS? Binafsi Headex ndio dawa ninayoitumia.
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Rafiki yangu anasumbuliwa na Asthma. Kwa muda wa mwaka sasa kifua hakijambana ILA jana kimembana sana, alikuwa anapumua kwa tabu, mapigo ya moyo yanakwenda kwa kasi na miguu na mikono kutetemeka...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana jamvii, msaada wa aina ya vifaa navyotakiwa kuwa navyo kabla sijafungua clinic ya macho mtaani! Msaada wa mawazo juu ya machine na mitambo ya kuwa nayo kama clinic ya macho
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Siku ya Bima Ya Afya Kwa Wote inalenga kuongeza uelewa kwa Jamii na Nchi kuhusu umuhimu wa kuwa na mifumo imara na endelevu ya afya na bima ya afya kwa wote kwa kushirikiana na washirika wa pande...
1 Reactions
1 Replies
642 Views
Ni kweli wagonjwa wa Kisukari ndio wanataabika kupindukia kuliko wagonjwa wengine na ndio hutangulia haraka au ni kutunyanyapa tuu .
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati huu. Kuna aunty angu amenishirikisha jambo nami nikaona niwashirikishe wana JF huenda tukapata suluhisho. Anasema , ni muda kidogo tangu askie hiyo hali na alichukulia pia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wataalam habari za asubuhi? Naomba msaada wa elimu katika hili. Baada ya kuishi na mke kwa muda kwa mwaka mmoja na miezi saba bila kupata hata dalili yoyote ya mimba, nikaamua kwenda hospital...
5 Reactions
64 Replies
19K Views
Kuna baadhi ya watu wanadai kwamba pilipili manga ni tiba ya vidonda vya tumbo. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Na kama kuna ukweli wataalamu wa afya mnisaidie namna ya kutumia.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu Nb. Wapo walonishauri...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu Habari za wakati huu? Kwa muda mrefu Niko natumia Bima ya afya ya NHIF ya serikali ya kawaida hii, ni nzuri Kwa sehemu yake. Ila Ina changamoto kidogo Kuna hospital hawaipokei mfano Aga...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Jamani naomba kwa anayejua dawa ya vidonda kama hiki tupeane ushauri. Historia ya kidonda Alipata ajali miaka mitano iliyopita ametibiwa KCMC, Mt. Meru, Mawenzi, St. Joseph, NSK Arusha, bila...
4 Reactions
119 Replies
27K Views
Katika kila mwili wa binadamu una viungo mbalimbali , na kila kiungo kina faida zake, lakini inapotokea ukapungukiwa lazima utayaona madhara au hasara ya kutokuwa nacho, mfano % 98 wanaume...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hello GT, naombeni msaada wenu, nimepima blood pressure Iko 71/51, na nasikia wenge la ajabu kama nataka kudondoka vile, mpaka saa ingine sioni, naombeni mwenye kujua dawa ya kuipandisha, naomba...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii hospital mnaonaje ni nzuri kwa matibabu ya mifupa?
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mm nilikuwa na jipu shavuni nmelitumbua jana nlikuwa naomba nifahamu ni dawa gani nzuri ambayo itakausha kidonda kwa haraka. Hospital nimeandikia Amplicox lkn ningependa kufahamu...
0 Reactions
17 Replies
31K Views
Habari wataalam na wenye hekima, Hivi karibuni nimekua na hamu saana ama addicted na tendo la ndoa, na nimekua nikifanya karibu mara 4 mpaka 6 kwa wiki. Hali imeanza kubadilika kwenye kiwango...
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Tafadhali wakuu naombeni msaada wa mwenye kujua
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Habari za muda huu pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto ya kila aina. Naomba niwasilishe ombi la msaada kwa kila mwenye uelewa nalo, iko hivi nina ndugu yangu alipata ajari ya pikipiki huko...
1 Reactions
10 Replies
537 Views
wakuu habari zenu. Kuna shoga angu anasema ana kaka ake analalamika ana tatizo limempata. Sasa anasema mikono yake inapata ganzi ghafla hasa viganjani mpaka hadi videle vinakakamaa. Pia mikono...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…