By Faustin Odeke-New Vision
Tororo women are discouraging their husbands from undergoing circumcision, health authorities have disclosed.
Willy Mungoma, the district health educator, said most...
By Faustin Odeke-New Vision
Tororo women are discouraging their husbands from undergoing circumcision, health authorities have disclosed.
Willy Mungoma, the district health educator, said most...
Kutokana na mashua tatu zilizopo kushindwa kumaliza/kupunguza maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI uko umuhimu wa kuongeza mashua nyingine itayofikia lengo.
Mashua tatu zilishoshindwa kutoa suluhisho...
Huu umekuwa ndio ulevi mpya, asilimia kubwa ya watu wa kawaida wakiwemo boda boda siku hizi wanatumia ulevi huu wa kuchanganya soda aina ya coca cola au pepsi na viroba vya konyagi au valuer...
Wanajamii Forums, Habari!
Napenda kujuzwa , wapi Hapa Dar Es Salaam Wanatoa Huduma ya Kuweka Meno Ya Bandi Ya Kudumu kwa gharama Nafuu?
Wenye Kujua au KUfahamu Chochote, Tafadhari Tujuzane .
Asante
BARAZA la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA), limeitaka Serikali kuwaeleza wananchi madhara watakayoyapata baada ya kutumia dawa bandia za kupunguza makali ya Virusi vya Ukimwi...
Hello doctors!
nina mwanangu wa umri wa miaka 2,amekuwa akisumbuliwa na kikohozi kwa muda mrefu sasa,ametumia antibiotics za kutosha,amekunywa dawa za kikohozi nyingi lkn tatizo liko pale...
wapendwa naomba mnisaidie mwanangu amebabuka ngozi upande mmoja kuanzia kwenye shavu kuelekea mdomo ulipo yani ana rangi mbili wengine wanasema mtu akiwa hivyo ana upungufu wa kitu fulani au ana...
Jaman nashindwa kulala yan anakoroma kama jenereta on to of dat mdomo uko waz afu analala na mgongo
nlienda kuomba ushauri kwa mmoja akaniambia wake yeye anakwaruza meno kama vile mbwa mwenye...
Habari wanajamii mimi ni kijana umri miaka 27.
Nina tatizo kubwa la kuwahi kumaliza(kuwahi kufika kilele) hii inanipa tabu sana mana mpenzi wangu nakuwa simlizishi kwakweli ananivumilia sana kwa...
Kwa wale wenye Matatizo wale hili tunda kwa wingi litasaidi kuokoa ndoa zao,mahusiano yao vizuri.Kwani Tunda hilo linafaida sana ndani ya mwili wa binadamu.
"The citrulline-arginine relationship...
Wakuu naomba msaada kwa hapa dar wap ntapata majani mabichi ya mbaazi,ikibidi hata kwa kununua kwa bei ya kawaida?ni kwaajili ya dawa ctapenda kutaja zaid but natanguliza shukran
Wajawazito wanywaji pombe kuzaa watoto taahira
Sunday, 23 September 2012 11:02
Claud Mshana na Elizabeth Edward
MATOKEO ya utafiti mpya umeonyesha kuwa matumizi ya pombe kwa...
MAMLAKA ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA), imeidhinisha dawa ya Truvada kuwa tiba ya kuzuia kuenea kwa Virusi Vya Ukimwi (VVU).Dawa hiyo ambayo awali ilikuwa katika kundi la zile zinazotumiwa...
Jaman mwenzi wangu anaumwa,Yeye akikaribia siku zake huumwa tumbo mbaya,na hata anapokuwa kwa siku tumbo humuuma sana,kibaya zaidi yeye huenda siku na anapo maliza anaweza kaa siku 3 ikashuka...