Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

10 Great Reasons to Drink Water 10 Great Reasons to Drink Water, and How to Form the Water Habit We all know that water is good for us, but often the reasons are a little fuzzy. And even if...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wataalamu, Nimekuwa nikijiuliza sana kuwa inakuwaje mtu hata kama umebanwa mafua vipi au kikohozi, yaani unapolala isingizi tu na yenyewe yanakata hata kama yalikuwa yale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa afya Dr. Hussen, amewataka waganga wa kienyeji wapeleke dawa zao NIMR ili zichunguzwe kama hazina madhara. "Hizi dawa za kienyeji zimekuwa zikisaidia sana watanzania, sasa imefikia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hamjambo wakuu? Nina niece wangu kazliwa 3 month ago na jicho moja likiwa slightly ndogo kwa lingine. Ni mapacha, mwenzie kazaliwa mzima bukheir. baada ya miezi 2 yule mwenye jicho ndogo akaaza...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Watafiti nchini Japan wamegundua jinsi seli za mfumo wa fahamu zinavyoweza kutumika kama seli mbadala zinazofaa kupandikizwa kwenye seli kongosho ili kutibu kisukari. Ripoti ya utafiti huo ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuharibika kwa chujio ama Glomerulonephritis ni aina ya ugonjwa wa figo unaoathiri sehemu maalum ya figo (chujio) inayohusika na uchujaji wa maji pamoja na uchafu kutoka katika damu. Sehemu hii...
3 Reactions
2 Replies
9K Views
Utafiti mpya uliofanyika nchini Marekani umesema ya kwamba kula machungwa na zabibu kunaweza kupunguza uwezekano wa kupata kiharusi (Stroke). Utafiti huo uliangalia faida za matunda chachu (Citrus...
1 Reactions
0 Replies
7K Views
Mara baada ya Heka heka za migomo ya madaktari nchini na kusababisha huduma za Afya kusua sua mara baada ya zaidi ya madaktari 300 kufukuzwa na wengine wengi kuacha kazi serikali pamoja na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
JF doctor heshima iwe kwenu. Tafadhali naomba msaada wenu wa kitabibu hili tatizo linasababishwa na nini na nini tiba yake.Mdogo wangu anasumbuliwa sana na tatizo hili alapo nyama tu mwili huanza...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Mwenye picha ya u.c.h.i uliokeketwa naomba nione, nasikia tu kuna baadhi ya wanawake wamekeketwa, ila sijawahi kuona u.ch.i unakuaje ukishakeketwa.
1 Reactions
69 Replies
85K Views
Habari za jioni wanajamvi! Naomba msaada wife ukufika wakati siku zake anapata maumivu makali ya tumbo Na tarehe zimekuwa zikibadilika badilika mf: alikuwa anaingia tar 21......kama miezi mi2...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
U T I ni ugonjwa unaosababishwa na nini? Dalili zake? Unaambukiza? Matibabu yake?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UTI ni ugonjwa unaosababishwa na nini? Dalili zake? Unaambukiza? Matibabu yake?
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Dalili za ugonjwa wa UTI, madhara na tiba yake, je unaambukiza?
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Wataalam wa haya mambo hebu nielimisheni mimba inatungwaje kwa mwanamke mara baada ya kusex nae?? Yaani muda baada ya hedhi yake au kabla.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Hello Mdau, Mama mjamzito anahitaji kula vizuri na kufanya mazoezi vizuri ili aweze kutunza afya yake na ya mtoto vizuri. Akina mama wengi hawafahamu kuwa ni vyakula gani na ni aina gani ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
You don't have to acquire a taste for olive oil, seaweed or soya to maintain a low-fat, healthy diet. Indian cuisine can be healthy too, if it's cooked with oil and ingredients that take care of...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Doctor,mwanangu ana miezi 3.Kuna hizi sindano za pajani zinampa shida ya maumivu yasiyo kifani.Je,nifanyeje wakuu?Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
tangu nimejifungua sina0raha kila nikifikiria kunyonyesha maana chuchu zinauma mpaka nataka kuchanganyikiwa. Mtoto akiwa ananyonya mwanzo niliambiwa nivumilie wiki2 zitakua zimepoa sasa ni mwezi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…