Kwema Ndugu zangu,
Naomba kufahamu jambo hili muhimu tunalo linalofanya sote kila siku na linalofahamika pakubwa na Jamii duniani pote.
Kiafya, nguo za ndani za kike na kiume, mathalani chupi...
Kwanza nipende kumshukuru sana Lavan Island yeye ndio chachu ya mada hii...nilikuwa sina ufahamu wa kutosha kuhusu kitunguu saumu japo nilikuwa najua kuwa ni kinga nzuri kwa mtoto anayetaka usiku...
Hey members habari za mchana
Naomba kufahamu hospital nzuri ya macho ya serikali maana nahitaji kupima macho (color blindness), na uoni na gharama zake itapendeza zaidi
Mchana mwema
Kwa. Dar
Habari Mimi ni mwanaume naombeni msaada Kuna mwanamke nilikutana nae nikafanya nae mapenzi kwa Sasa ninapata maumivu wakati wa kukojoa pia maumivu chini ya kitovu na pia wakati wa kukojoa, pia...
Kuna mtu alinieleza Ili dawa ya tayphoid ifanye kazi viziri Kuna kidonge kimoja unatumia kwanza ndipo uanze dose ndiyo dawa ifanye kazi sawa,naombeni kujuzwa kuhusu hili
Wakuu, habari za Muda huu, Naomba kusaidiwa mada tajwa hapo juu, Kwamba ni hospital gani yenye maspecialists wazuri na wana vifaa vizuri Kwa hapa bongo?
Wakuu natumaini hamjambo naombeni msaada kwa hili Jambo wiki mbili na siku kadhaa nilichomwa na msumari ila uliingia Kidogo Sana nikafuta kwa sababu ilikuwa Kidogo nikaendelea na maisha ila sasa...
Wakuu nitawasalimia nikimaliza matatizo yangu. Ni hivi hapo majuzi nilipata mwamamke mkubwa kiumri kanizidi kama miaka 11, mimi nina 32. Nimechakatana nae vizuri na kweli mmama kaelewa show...
Kuvunjika kwa uume ni tatizo la kawaida miongoni mwa wanaume, licha ya kwamba tatizo hili halizungumzwi sana.
Kuvunjika kwa uume kuna uwezekano mkubwa wa kutokea pale unapogonga mguu au sehemu ya...
Waungwana kuna kijina hapa maeneo ya jamaica camp ameniomba msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi hii ni mara nilipowaambia kuwa mimi nilivuta mara moja na nikaacha baada ya kuniletea madhara...
Habarini,
Ninaomba Kuuliza kwa wazoefu , Endapo Mama anachangamoto ya Maziwa kutoka toka Mtoto ana mwezi Mmoja Je ni sahihi kwa mtoto kuendelea kupewa maziwa ya kopo hasa Lactogen kwa zaidi ya...
Nina sumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi miaka 6 sasa sipati usingizi nimechoka na utegemezi wa dawa ambao haunisaidii.Naombeni msaada na mm niwe kama binadamu wengine
Maafisa wa afya nchini Marekani wameidhinisha kwa mara ya kwanza ulimwenguni chanjo dhidi ya homa ya Chikungunya.
Kulingana na mamlaka inayosimamia chakula na dawa (FDA) ya marekani, chanjo hiyo...
Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au...