Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ugonjwa wa asubuhi , (morning sickness kwa lugha ya Kiingereza) pia hujulikana kama kichefuchefu gravidarum , kichefuchefu , kutapika kwa mimba (emesis gravidarum au NVP) au ugonjwa wa mimba ni...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Mtoto wa ajabu amezaliwa katika mji wa songea ambapo sehemu za siri zipo kichwani na zingine zipo kule zinako stahili kuwepo na anauzito wa kilo moja na nusu. source Channel ten Nini...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu salama? Naombeni msaada wa mawazo yenu kuhusiana na kichwa cha uzi. Nini kinasababisha delay ya menstration au labda ovulation? Kwa mfano cycle yangu ilikuwa 28 days constant kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nisaidieni wapi naweza pata specialist mzuri wa macho.Jicho langu moja la kushoto halioni vizuri naona vitu kama mawinguwingu halì hii imeanza jana nimeshabadilishiwa lens za miwani mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:frusty: Mi nimfugaji wa kuku wa kienyeji kwa muda sasa tabia ya vifaranga kufa inani katisha sana tamaa, inanifanya kuwa mnyonge kwani sielewi tatizo ni chakula (wanadai vyakula hivi vya kununua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nime kuwa nikijifunza kwa mda kidogo mambo ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na nimeona niweke jukwaani sababu hasa za mtu kuwa na ulemavu wa ngozi. Ulemavu wa ngozi huathiri mataifa yote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja kati yatuliopewa post za fm 5 kwa comb. ya PCB naomba kujua vigezo gani vinatakiwa na pia nitafanyaje ili niwe daktari bingwa?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nashukuru kwa ushauri wenu. Nina tatizo la kuwashwa sehemu ya haja kubwa na ukikuna panakuwa na maumivu. Je tatizo ni nin? Plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninasikia njaa kila baada ya saa moja, baada ya kumaliza kula chakula, nimekunywa dawa za minyoo haijanisaidia, naombeni mnisaidie maana maisha na bajeti ya sasa hayaendi.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wana JF Doctor. Naomba msaada wenu please. Nimekuwa Na tatizo la mara kwa mara la kuwa attacked Na vaginal fungi, haipiti miezi Sita, sijaumwa, now...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
maumivu ya kifua,na KIFUA KUKOROMA UNAPOPUMUA, KAMA KUNA MTU MWENYE UFAHAMU JUU YA TATIZO HILI,HANA MATATIZO YA MOYO WALA PUMU
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo? Mwanangu anasumbuliwa na meno yale ya mwisho, amevimba fizi, hataki kula hata chakula nimsaidiaje mwanagu, ameshindwa hata kupiga mswaki, nimpe dawa gani?? msaada please...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna habari njema kwamba vifo vitokanavyo na malaria vimeanza kupungua kwa kiwango kikubwa nchini kutokana na matumizi vyandarua vyenye dawa. Taarifa za kupungua kwa vifo hivyo ziliwekwa wazi juzi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
...mm ni ME,nimekutana na msichana bahati nzuri pakawa ni faragha...(mimi na yeye tu)...tukajikuta tumechezeana takribani 30min...wote hoi! kidume nikashindwa kuvumilia...nikachomeka mambo...
0 Reactions
96 Replies
48K Views
Kila nikinywa chai na mkate (wa slice) asbh njaa inaniuma mapema sana kuliko nikinywa chai kavu (bila kitafunio chochote),hii imekuwa ikinitokea mara kwa mara,mfano leo mida ya saa nne nimekunya...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
1. The human cell contains 75 MB of genetic information 2. A sperm 37.5 MB. 3. In a milliliter, we have 100 million sperms. 4. On average, one ejaculation releases 2.25 ml in...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wana JF Doctor!! kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma maada mbalimbali nakutoa ushauri mwingi tu kuhusu watu wanaouliza au kutoa maada juu ya magonjwa mbalimbali hapa. nimegundua kua maada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jamani nina mgonjwa mahututi na kila nusu saa kingora cha escort, mgonjwa hapumziki, hawa viongozi hawajui kuwa maisha ya raia yako hatarini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
How to Shave The Pubic Area for Women? The shaving of pubic area for women can be a hassle. The sensitive skin in this area is more prone to breakouts and shave bumps than on other...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
jaman mi mafua yamenikaba hadi kichwa kinauma naumiia wapenz wanguu jaman sijui ntalala leo uwiiii
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…