Jamani wana JF habari za hapa ndani, mimi nina demu wangu amepata tatizo tunashindwa kulielewa, Alichoma sindano za powersafe. soon after changes zikaanza, menstrual ikabadilika na maziwa yakaanza...
heshima kwenu nyote madoctor na wataalamu wetu..... Nina mdogo wangu ametokea kuwa na upungu wa nywele kichwani(kipala) katika umri mdogo anapata shida sana kwani inambidi kunyoa nyele zote...
It is so surprised to know that there are no male physiotherapist and masseurs are available in Arusha.
And many of the masseuses do not know the actual massage and no chance to Deep Tissue...
Jaman hawa nao wamezidi sasa!! kila kukicha afadhali ya jana!! waungwana nina demu wangu kiukweli ananipenda sana! hivi juzi kati ameanza kuumwa na tumbo sana! nkawa nawaambia machizi wangu kuhusu...
Watafiti wamegundua namna mpya ya kuvunja kanuni nne za afya ambazo liliwekwa zamani na bado ukawa na afya njema. Kanuni za zamani na mpya ni hizi hapo:
4 Health Rules You Can Break Today
Old...
it's morning again, ngoja nikaoge, we mwanaume usioge maji ya moto, wanaume wakioga maji ya moto sio vizuri, inaua mbegu za kiume, utashindwa pata mtoto ....naenda kazi bila kuoga nisije kosa...
Habari wapendwa! Nimekua nikisumbuliwa sana na usingizi badae nimekuja kugundua inawezekana nikawa nimerithi kutoka kwa mama maana nimegundua ana usingizi sana akitulia tu kidogo analala sasa...
Daniel Mjema, Moshi
UGONJWA wa kimeta (anthrax) umeua mtu mmoja na wengine 84 wakiendelea na matibabu huku 10 kati yao wakiwa katika hali mbaya.
Habari zilizopatikana jana zimeeleza kuwa ugonjwa...
From now onwards East African nationals who pass across Tanzanian borders will not have to show a yellow fever vaccination certificate.
Likewise, non-East Africans, when travelling within the...
Wakuu
Hii habari inawezea isiwe ya Siasa 100% lakini kwa kuwa siku za karibuni hapa bongo kumekuwa na mijadala ambayo imezua issue kadhaa baadhi yake ni
matibabu ya nje
Aina ya magonjwa...
jaman naomba msaada wa ushauri kwan niko kwenye wakat mgumu mm n kijana wa miaka 33 nina shida kwenye njia ya haja kubwa napata choo kwa shida yaan naumia sana na mwisho choo kinaambatana na damu...
Nina tatizo hilo kila shori mkali anaekatiza mbele yangu basi namtamani....kimapenzi....najiulizaga peke yangu huu utakuwa ugonjwa..despite nina shori mkali nyumbani lakini bado haka ka tatizo...
ndugu wa JF, mimi ni mtoaji maarufu sana wa damu, nimeshatoa damu mara tano. Hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuumwa na paji la uso hali maarufu kama kipanda uso, nilipima damu mwezi uliopita...
Mwana Mama kuumwa tumbo kila anaponyonyesha au wakati mtoto akinyonya inasababishwa na nini? Nini dawa yake? au mama mtoto afanye nini ili tumbo lisiume?.
Asanteni sana.
nisaidien elimu ya kufanya mapenzi katika siku salama, unazihesabu vipi madaktar wangu? mfano mtu ameanza kublid tarehe 23 alafu kamaliza tarehe 27 mwez wa pili, lini anaweza fanya mapenz na...