Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari zenu wanandugu, hivi katika kupima,baada ya kufanya tendo la ndoa inachukua muda gani mpaka kipimo kigundue kuwa damu yako imeathirika(HIV positive).
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Sleeping pills increase risk of death, study suggests Doctors call for rethink after large study finds prescribed pills could be associated with up to 0.5m extra deaths a year in US...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hi jf guys, anayejua ukweli wa hii kitu atusaidie, kuna rafiki yangu (si daktari) ameniambia kwamba maji ya bahari yenye chumv nyingi ukiogelea yanasaidia kuondoa vipele, Mba, fungus, na rashes...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
The Pulitzer Prize play is a U.S. award for achievements in newspaper
0 Reactions
1 Replies
790 Views
Wazoefu hebu fungukeni kuhusu kitambi na uwezo wakufanya mapenzi How does it affect?
0 Reactions
15 Replies
8K Views
ndugu yangu ana maumivu makali mwili mzima kwa miaka 10 sasa. Maumivu ni makali zaidi usiku. Anajisikia kuchoka sana na kujisikia usingizi hasa mchana. Anatoka jasho kwa wingi na lina harufu kali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A patient needed a brain transplant and the doctor told the family, "Brains are very expensive, and you will have to pay the costs yourselves." "Well, how much does a brain cost?" asked the...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba ushauri wenu katika hili! Ngozi ya korodani inapokuwa inatoa kitu kama fungus-yani ngozi inakuwa kama ina magamba halafu ni upande mmoja tu,katika korodani la kulia. nimetumia sabuni nyingi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanawake wengi watapata maambukizi haya katika maisha yao. Maambukizi haya huwasha, ni chungu lakini ni rahisi kutibu. Walio na ugonjwa wa Sukari huambukizwa haraka kwa sababu ya sukari nyingi...
3 Reactions
8 Replies
8K Views
Nimekaa boarding miaka minne bila kufanya mapenzi; nilipomaliza form 4 nikarudi zangu home mara nikawa na mahusiano na msichana mmoja. Siku yangu ya kwanza kufanya naye mapenzi nilishindwa kwani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina uvimbe kichwani kwa mda sasa tangu 2002 ambao nimeambiwa tumor baada ya kupiga xray, ila niliambiwa kuwa unatakiwa kukatwa ingawa cio mkubwa xana coz unakiwa taratibu xana some of the doctors...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jamani naomba mnisaidie katika hili!Kwa nini mtu anapokuwa na mafua huwa hahisi harufu ya vitu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mi nina swali ambalo nashindwa kulipatia uvumbuzi je unene au kuwa na mwili mkubwa ni afya au ugonjwa.kwa sab wengine wanasema flan ana mwili ana afya.na wengne kukonda wanaona ni kutokuwa na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa mwenye uthibitisho jamani, je kuna ukweli wowote kuwa ulaji wa chips unasababisha upungufu wa nguvu zakiume?
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Please find attached document from NIMR.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
halo jf members! Je hili tatizo la kutoka jasho usoni kupita kiasi husababishwa na nini? natumai wenye taaluma zao watanidadavulia vizuri,thanks and welcome
0 Reactions
0 Replies
998 Views
KutapikaKutapika kwa kawaida ni dalili ya kuonyesha kuwa, kuna shida tumboni, umekula chakula kilichoharibika au una mafua. Unapoumwa sana na kichwa na kupata shida zingine za kiafya, au uja...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habari. Jamani naombemlni msaada wa uelewa. Hivi hiyo dawa ni antibiotic, mwanangu anakohoa sana huwa nampa hiyo Alerid syrup sasa keshatumia cloxaciline naweza mpa na hiyo? katumia na ambrox...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tafadhali bwana Dr. nisaidie. Mtoto wetu ana umri wa Mwaka mmoja na miezi sita sasa hapendi kula chakula chochote zaidi ya kunyonya maziwa ya mama yake. Je kuna njia yeyote ya kumsaidia ili aweze...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
It is popular in Japan today to drink water immediately after waking up every morning. Furthermore, scientific tests have proven a its value. We publish below a description of use of water...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…