Nina tatizo la ngozi ktk ngozi yangu ni la muda mrefu,nilikua natumia dawa kutoka kwa madaktari tofauti tofauti lakin sasa nimechoka hvo nahitaji dr bingwa wa magonjwa ya ngozi atakaemaliza tatizo...
habari zenu wana jf,nahitaji kujua na kupata ushauri wenu kwani katika sehemu yangu ya siri(uume)imekuwa ikitokwa na vipere vidogodogo jaman sasa nashindwa hata kuelewa nini hasa tatizo...
James Magai
RIPOTI ya uchunguzi wa sakata la kudungwa sindano tata mtoto Imran Mwerangi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imekamilika na tayari imepelekwa Wizara ya Afya na Ustawi wa...
jamani naomba msaada wenu,maana mwenzenu nilikuwa najisaidia sana choo kigumu hadi nikapata mpasuko katika sehemu ya haja kubwa,nilielekezwa kutumia vidonge vya ANUS but ilinisaidia tu kukata...
Nategemea kuoa hivi karibuni lakini sharti la kwanza nimeambiwa nikapime ukimwi,ukweli naogopa sana na kila wakati nikifikilia hilo jambo la upimaji,mpenzi wangu amegoma kushirikiana na mimi mpaka...
It's long but very true
We all think eating fruits means just buying fruits, cutting it and just popping it into our mouths. It's not as easy as you think. It's important to know how and when to...
Habarini wapendwa?
hebu naomba mnijuze kwenye hili..............
Hivi kwa mama (mzazi) aliyeathirika na gonjwa la ukimwi ni salama kweli kwa mtoto kunyonya kwenye ziwa lake?
Na kama sio basi...
msaada p'se for a friend of mine:
Alikuwa na mimba ikiwa imefikasha miezi 5 alisitisha tendo la ndoa, mwaka umeisha sasa kajifungua, mtoto anamiezi mitatu juzi ameshiriki tendo la ndoa baada ya...
kuna taarifa za kusikitisha kwa watumiaji condom'condom zote zilizoingizwa chini ya kampuni ya katibu mkuu wizara ya afya na mganga mkuu hazifai kwa kuwa zina matundu makubwa mno na zipo chini ya...
Moyo ni ogani (organ) muhimu sana katika maisha ya uhai wa mwanadamu. Unapozungumzia moyo katika mwili wa mwanadamu ni sawa na kuzungumzia injini katika chombo cha moto. Hali hii inatokana na...
nyinyi ma baba zangu na makaka zangu hakuna mgonjwa dunian anaeumwa maradhi ya nguvu za kiume now niukosefu wa connection kati yenu wawili mzee anaweza kwenda rounds 5 nakuendela na kijana hata...
Watu wanaopenda sana kula nyama nyekundu kama vile nyama za ng'ombe , mbuzi au 'kitimoto' wana uwezekano mkubwa wa kupata upofu kwenye uzee wao. Matokeo ya utafiti wa wanasayansi umegundua kwamba...
Ugonjwa wa kaswende ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Treponema pallidum. Ugonjwa wa huu ni kati ya magonjwa ya zinaa yanayoongoza kwa kusababisha madhara mengi. Maambukizi ya...
Nilipata kicheche m1 hivi nikasema ngoja nisuze rungu sasa yule demu sijui ni wakitanga? Aisee yani masaa mawili kitu akishuki sasa sijui ndio preapism.
Jamaa yangu ndio kaniuliza,nikashindwa...
Share this Chart with everyone - PRINT IT
Apples
Protects your heart
prevents constipation
Blocks diarrhea
Improves lung capacity
Cushions joints
Apricots
Combats cancer
Controls blood...
Boy, 5, lives his life as a GIRL after becoming one of the youngest ever to be diagnosed on the NHS with 'Gender Identity Disorder'
Zach Avery, 5, refused to live as a boy when he was just THREE...