Jmn najua humu kuna madokta naomben msaada wa kufahamishwa madhara yanayoweza kumpata mwanaume endapo atakaa mda mrefu bila ku do
kama hayapo je kuna faida?
Ni zip?
NAWASILISHA
MKE WANGU ANA MTOTO WA MWAKA 1 NA NUSU.AFYA YAKE NI MGOGORO.NA ALIJIFUNGUA KWA UPASUAJI.NI MTOTO WETU WA 1.HOSPITAL WALISHAURI ANGALAU AKAE MIAKA 3 HADI 4 NDIO AZAE TENA.ALIKATAA KUTUMIA NJIA ZA...
Ndugu zangu madokta ndani ya JF. Jana usiku wakati naenda haja kubwa nilihisi tumbo la kuharisha ambapo wakati ikitoka nilihisi kuna kitu kinachoma na kusababisha maumivu makakali sana...
Kupitia kipindi cha 'Dakika 45' ITV kasikika akisema: @Intern Doctors ni wanafunzi wa mwaka 5 wa udaktari(MD5) na bado wahajawa madaktari. @Chama cha mataktari(MAT) hawapaswi kuwatetea Intern...
Black Seed Oil
Black cumin oil is safe enough to use as a household remedy for almost every ailment from stomach ache, insect stings, allergies, colds, flu, bruises, hair loss, lethargy etc.. This...
Habari wanajamii! Nimefuatilia kwa kina mgogoro unaoendelea kati ya Serikali kwa upande mmoja na Madaktari kwa upande mwigine. Ukweli inasikitisha sana kuona kwamba dhani ya uzalendo imetoweka...
Habari zenu wana JF,
Naomba mnisaidie DAWA itakayo msaidia Mama yangu, vipimo vinaonesha SPLEEN yake is enlarged to 12.6cm na Daktari ameniambia siyo normal na amempa dawa lkn last time...
Wataalam kunakitu najiuliza sipati majibu.
Nimekuwa kila nikikojoa huwa najisikia raha sana kwenye mrija wa uume unaopitisha mkojo.
Pindi nikojoapo mkojo huwa unanistarehesha sana na...
Habarini doctors na memba wa jf, jamani kuna mtoto wa shemeji yangu ana miaka 2 na nusu akilia kuna uvimbe mkubwa kama yai la kienyeji unatokea sehemu ya juu ya uke kwa nje upande wa kulia, mtoto...
wana jf naomba kulizi mpenzi wangu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokwa na maji maji ukeni kiasi cha kufanya nishindwe kumwingilia tatizo ni nini hapa wakuuuu
Naomba mnisaidie dawa ya kuondoa rangi ya kijani kama kutu kwenye meno hii inasababishwa na nini ? na hii rangi ina madhara? nilienda dental clinic moja wakaniambia kusafisha ni shs. 45,000
MAFAHARI WAWILI WAGOMBANAPO= NYASI NDO ZNAZOUMIA.
Huu ndo msemo sahihi tnaoweza kuutmia wakati huu wa migomo ya madakitari wetu.
Huu ni msuguano baina ya pande mbili. Serikali na Madaktari...
Pamoja na salamu kwa wana JF wote !
Naomba kama kuna mtu anafahamu dawa ya kutibu au kutuliza "FLATULENCE".
Kuna jamaa alinipa e-mail ya mtu mmoja ambae inasemekana anauza vitabu ambavyo...
Wearing high heels on a regular basis can cause leg muscle damage and change the way a woman walks even after taking the shoes off, findings suggest. In a study published in The Journal of Applied...
Kijana mmoja wa kiume anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 14 hapa DAR amenishamngaza sana mpaka nikaona niulize.
Kijana huyu ana sehemu mbili ktk kichwa chake zinacheza kama utosi wa mtoto mchanga...
Shocking Soda Fact #1: Soda fattens up your organs
A recent Danish study revealed that drinking non-diet soda leads to dramatic increases in dangerous hard-to-detect fats. Researchers asked...
Nimetoboa masikio ila hayajapona na moja linatoa maji maji. Bado nimevaa hereni nilizowekewa na sonara ni mwezi sasa umekatika.
Nifanyaje? mana naogopa hii hali.
Heshima zenu wakuu.Nimekuwa nikisikia redioni kuhusu tangazo juu ya kampeni ya upuliziaji dawa ya ukoko ya kuua mbu waenezao ugonjwa wa maralia kwa wakazi wa kanda ya ziwa kwa mikoa ya Mwanza Mara...
AIDS/HIV and Coconut Oil
Can coconut oil reduce the viral load of HIV-AIDS patients? "Initial trials have confirmed that coconut oil does have an anti-viral effect and can beneficially reduce the...