Kwema,
Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za...
Wakuu,Habarini.
Ningependa kujua kwa Dar ni hospital zipi wanapima na kutoa chanjo ya homa ya ini?
Na je kwa watoto wadogo kuanzia umri gani anatakiwa kupata chanjo io.
Ahsanteni.
Habari za saa hizi wakuu?
Ni kama week ya tatu na kipele kimetoka mkononi nikikamua kinarudi tena, hakiumi hata kidogo. Je, wataalamu hii inaweza kuwa nini?
Wasio na majibu naomba mkae kimya.
Madaktari wamesema uvaaji wa suruali za kubana kwa wanaume ni chanzo cha baadhi kuwa wagumba na wengine kupata magonjwa ya ngozi
Kampala. Kwa wananchi wa Uganda, jina la Denzel Mwiyeretsi siyo...
Wajuvi wa mambo habari zenu,
Ni wiki ya 2 sasa kausingizi kamenipotea kabsaa, yaani sipati usingizi mchana, sipati usingizi usiku. Hadi nafikiria na kushawishika kugonga tena konyagi labda...
Sijawahi kufanya ngono uzembe sina dem miaka 3 sasa lakini pumbu zinawasha kichwa cha uume kinaota vipele vinawasha balaa nimetembea hospital zote sioni msaada asa juzi kuna lishangazi limenielewa...
Nina miezi kama miwili nasikia maumivu baada ya kukojoa,nimenda hospitali kucheck mkojo na nimepima katibia mara tatu still mkojo wangu ukaonekana hauna matatizo yoyote, nilipewa na dawa ila still...
Wakuu habarini za jioni,
Naomba kufahamishwa uelewa kuhufu Bima ya NHIF ukishaitumia mara moja mpka ipite siku saba ndio unaweza kuitumia tena kwa matibabu hii imekaaje
Moringa oleifera is a drought-resistant tree native to South Asia and Africa. It has been cultivated for centuries around the world for its potential health benefits. While the plant's leaves can...
Utafiti mpya uliochapishwa Oktoba 17, 2023 katika Jarida la Kisayansi la Kimataifa la Sage, umeonesha kuwa wagonjwa wa moyo waliowekewa betri ya moyo wamepata hatari ya kukumbwa na changamoto ya...
Mtu haumwi homa yoyote ya kuonekana.
Hana tatizo la afya ya akili (Ukichaa).
Anafanya kazi zake vema tu.
Sio mgomvi/mkorofi
Anajihisi huru mwenye raha na furaha anapokuwa yuko mwenyewe "alone"...
Wapendwa,
Nasumbuliwa na jino gego la juu linaota sasa fizi zimevimba na jino linaniuma balaa nashindwa kula upande huo... na apa nimekunywa panadol lkn bado maumivu nayapata msaada kwa mwenye...
Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo.
Anasema...
Dkt. Lilian Mnabwiru, Bingwa wa Magonjwa ya Kina Mama na Masuala ya Uzazi, Muhimbili anasema Urinary tract infections (UTI) ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo na moja kati ya njia au sababu...
Habari zenu ndugu zangu!...
Nilijamiana na mwanamke kwa bahati mbaya condom ilipasuka pindi nafikia mshindo. Nilichokifanya nilisitisha kuendelea na tendo kisha nikajifuta kwa kitambaa laini...
Common Foods That Contain Natural Poisons That Can Cause Death Or Harm Your Health.
According to the World Health Organization (WHO), certain naturally occurring toxins are created in food as a...
Wadau waJF najua mara nyingi hutoa msaada kwa mambo ya afya. Mimi ni mvulana nina mwaka wa pili kwenye ndoa sijabahatika kupata mtoto
Niliwah kupima kipind cha mwaka 1 nyuma niliambia Nina...
UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS)
Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili.
Fangasi ukeni...
MADHARA YA KUNYONYANA WAKATI WA TENDO LA NDOA. ( Mapenzi yanayohusisha mdomo na viungo vya uzazi)
Kwa sasa katika jamii asilimia kubwa imeathiriwa na tamaduni hii ya wapenzi kuridhishana kwa njia...
Miaka ya nyuma nilikuwa nafanya mazoezi ya kukimbia barabarani mara kwa mara siku moja tukiwa tunapiga stori na rafiki yangu yeye ni “Dental Specialist” pale Muhimbili akaniambia hadhani kama...