jamani nisaidieni hivi karibuni nimekuwa na tatizo moja ninapo kuwa na njaa ninakuwa nimetamani chakula flani nikianza kula maragafra chakula hunikinai nahapo sitaweza kuendelea kura tena...
nisaidieni nimshauri rafiki yangu
amekuwa akisimamisha bunduki yake vizuri kabla na wakati akiwa na msichana.....lakini akiwa anamuandaa msichana kwa ajili ya ku...do bunduki inakataa kabisa...
Naked dining banned in SF
San Francisco is known as one of the most liberal and tolerant cities in America, but there is something it won't allow…
AP Images
Naked people have been...
Habari members, Jamani mimi nikipata malaria 4 ni balaa nahisi kufa, Hali inakuwa mbaya sana. Zamani sana kuna jirani yangu alikuwa na 100, nilishangaa sana, alikuja kupona kwa shida sana, Sasa...
Casual sex fuelling cervical cancer rise Cervical cancer rates in young women have risen steeply in the last two decades because they are having more unprotected sex at an earlier age...
Kuna tatizo la kupata choo kigumu ambalo huwapata watu, tatizo hili husababisha kutoka uvimbe kwenye haja kubwa. Kama tujuavyo choo laini kinapatikana kwa kula matunda kama ndizi,mapapai nk pamoja...
tumezoea kusikia wanaume wakitafuta dawa ya kuongeza uume......mbona cjawahikusikia wanawake wakitafuda dawa ya kuongeza uke.......au hawapo wenye mdogo.......
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hadji Mponda
Nora Damian
JUMLA ya watumishi wapya 9,000 wanatarajiwa kuajiriwa mwaka huu katika sekta ya afya kuziba pengo la uhaba wa watumishi...
Wana jamvi, heshima yenu wakuu.
Nina mpenzi wangu ana mimba ya miezi 8 kwa sasa after two weeks ataanza mwezi wa tisa, lakini bado anataka yale mambo matamu ya kupeana raha ndani ya 6 x 6.
1. Je...
Nina mtu ambae ambae mwanae ameshauriwa amuone
endocrinologist....
sasa najiuliza endocrinologist ni watu gani hasa?
wame specialize na nini???
kwa Daresalaam wapi kuna the best...
Katika miaka 10 iliyopita, serikali ya China ilifanya jitihada kubwa katika kuondoa ugonjwa wa ukosefu wa madini ya joto mwilini. Sasa hali ya ukosefu wa madini ya joto nchini China imeboreshwa...
Wadau,
Kwa mwezi mmoja uliopita nimekuwa natokwa na dizaini fulani ya mabaka kwenye sehemu ya juu ya unyayo . Yaani ile ya rangi brown ya kukanyagia inatokea kama mabaka juu ya unyayo karibu na...
naombeni mnipe ushauri kuhusu kukosa choo kwa mtoto mdogo aliye na wiki 2, na hanywi maziwa ya kopo, ananyonya maziwa ya mama yake tu, tatizo ni nini? anapata choo mara moja tu kwa siku, na siku...
Mke wangu amepata tatizo la kataract ya jicho ghafla kama mwezi mmoja hivi uliopita.age yake ni miaka 30,kihistoria kwao hakuna mwenye hilo tatizo.tulienda ccbrt wakatupatia dawa ili tujiandae kwa...
Hellow jf dr's mtoto wa dada yangu kapatwa na huu ugonjwa wa kisukari ki-ukweli kabisa sikuwa kusikia kuhusu huu ugonjwa kuwapata watoto wadogo.hapa napata hofu kwa kuwa niliwahi kusikia huo...
Wakuu, heshima zenu.
Nina tatizo la kuuma mgongo kabla na baada ya kupata HEDHI. nina mwaka wa 2 na hili tatizo na sijawahi kwenda hospitali kwa kujua kwamba ni kawaida. Sasa naona ninakoelekea...
Whether sipping beer, wine or whiskey, women who drink just three alcoholic beverages a week face slightly higher chances for developing breast cancer compared with teetotalers.The link between...