Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau me kijana miaka 32 maana toka nibalehe sijawahi kushiriki mahusiano ila umri huu nimeamua kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ili nioe. Tatizo linalonisumbua uume kusimama legelege...
19 Reactions
184 Replies
13K Views
Habarini ndugu na poleni na majukumu, mimi ni kijana umri ni miaka 26 Nina mke na Mtoto mmoja ila pia Kwa sasa mke wang ni mjamzito, nilikuwa nahitaji msaada juu ya tatizo hili Kwa siku za hivi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Hamjambo!? Kuna kipindi kama miaka 2 nyuma nilikuwa nafatilia mijadala ya Dawa za vidonda vya tumbo. Sikumbuki vizuri ila nishaona zaidi ya mara tatu kuna watu wanashauri dawa flani hivi ni za...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Naomba ushauri Kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hivi yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu. Yeye anataka kutoa, nikiomba ushauri watu wananiambia...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana JF wenzangu, samahani naomba mnisaidie naweza kumpa maziwa ya ng'ombe mtoto mdogo wa miezi miwili? Na kama naweza kumpa naomba mnisaidie nayachanganya vipi ili nimpe natanguliza...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijui ili tatizo gani Kila nikinwa maji mengi Kikawaida ni lazima mbumbujiko wa maji unatoa sauti tumboni kila ukitembea au kukimbia Kwangu naona ni tofauti kidogo Kila nikinwa maji mengi na...
1 Reactions
4 Replies
395 Views
Habari wakuu natumaini wote wazima wa afya. Kuna siku ilitokea kwa ndugu yangu mmoja hivi umri 29 years mapigo yake ya moyo yalikua yanadunda haraka sana, hali hiyo ilipelekea kwenda hospitali...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibabu ya mtu alievunjika Mfupa. Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MARAFIK ZANGU HAMJAMBO? Haya Tena kwa wale wanaotaka Asali safi ya nyuki isiyo chakachuliwa Lita moja ni shilingi 15.000 wawasiliane kwa namba ya simu hii hapa 0754445733 Asali ina faida kubwa...
8 Reactions
35 Replies
32K Views
Tokea binadamu watokee kwenye uso wa Dunia miaka 300,000 iliyopita. tumeevolve bila kuwa na viatu miguuni. Hivyo miwili yetu haijaadapt kutembea ikiwa imebanwa miguuni. Viatu vimegunduliwa chini...
3 Reactions
6 Replies
805 Views
Mwagona Miaka Kama kadhaa nyuma nilipitia wakatii mgumu Sana kimaisha kiasi kwamba nikaanza tabia ya kujitenga na watu wa rika yangu. Hali hiyo iliendelea kukomaa taratibu imefika kipindi...
2 Reactions
2 Replies
541 Views
Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni...
6 Reactions
50 Replies
17K Views
Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa. Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini...
7 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu naomba mwenye kujua anisaidie kuwa ni wapi naweza kupata covid 19 certificate? Sababu nataka kwenda nje ya nchi nahofia kupata usumbufu boader
1 Reactions
1 Replies
417 Views
Habari ! Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo! Nimejarib kujifanyia monitoring pale inapotokea nimekunywa chai nikitest mkojo wangu kwa kulamba naisikia kabisa sukari kwenye mkojo au...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kichwa cha Uzi kilivyo hapo juu, Ni vyakula gani mwanaume na mwanamke wanapaswa kula ili tu kuwe na urahisi wa utungishwaji mimba baada ya Tendo?
2 Reactions
13 Replies
1K Views
"Epuka Imani Potofu, Epuka Imani Potofu" Usimkatae mwanao pindi atakapo zaliwa na white stuff, Wengi wanafikiria kwamba hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito, Nikutoe hofu...
1 Reactions
2 Replies
555 Views
Mafuta mazuri ya kupikia yenye kukulinda na magonjwa ya moyo, hayana cholestrol ndani yake yenye jina la kibiashara “Vegetable oil” kitalamu huitwa “Seed oils” au Polyunsaturated Fatty Acid oils...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Samahani wadau nahitaji msaada nashida ya kuwa na uume mdogo na kuwai kumwaga na kila aina ya matatizo kutokana na kujuchua toka mwaka 2011 mpaka sasa nmeanza program ya NOFAP nko siku ya 10...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Huu unaouona hapa ni "Uboho" BBC wame report haya chini Mtu mmoja aliyekuwa ameambukizwa UKIMWI amegunduliwa kuwa hana tena virusi hivyo baada ya kupandikiziwa seli za uboho(stem cells)...
9 Reactions
94 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…