In Summary
Asbestos proved to be an invaluable material in construction because of its properties and durability. But research has shown that contact with it can causes various cancers, Sandra...
Swali: Eti sabuni inaweza kubeba bakteria au wadudu wanaoweza kuambukiza magonjwa?
je sabuni zote ziko salama? na kama haziko salama mtumiaji afanyeje kabla ya kutumia?
A California company has recently launched an interesting new product which may signal a major breakthrough in weight loss. The company, SENSA, came up with an innovative way to convince the brain...
Kwa wakazi wa arusha watakua wanaifahamu vizuri hospitali ya seliani town clinic.ina sifa ya kuwa na vifaa vizuri na wahudumu wakarimu, lakini ina dosari ifuatayo;
huduma zake ni za bei ya juu...
Kwa ujumla wake, karoti ni mboga yenye kiasi kingi cha Vitamini A. Mbali ya vitamini hiyo, karoti ina virutubisho vingine muhimu vyenye uwezo wa kuzuia magonjwa hatari, kama vile saratani, moyo na...
Wanandugu wa JF kwanza habari zenu wote.
Mimi ni mgeni kuchangia/kupost katika jamvi hili,ingawa nimekuwa ni mfwatiliaji mzuri wa forum hii, ninaipenda sana.
Leo nimeona bora niingie kuuliza...
Wakuu nina tatizo. Kuna uvimbe umejitokeza chini ya shavu la kulia.
Nilienda hospitali wiki mbili zilizopita wakaniambia ni aleji na kunipa ethromaizin kutumia kwa wiki mbili, niliambiwa lengo...
Kuna mchaga mmoja kule maeneo ya ROMBO naye alijitangaza eti kaoteshwa na bikira maria watu waende wakapige kikombe ili wapone.
Naona aliona babu anacheza wakati hela nje nje wakati yeye...
Wabongo jamani wana bongo, kumbe wengi spana mkononi! Nimeamini kabisa kwamba usianzishe ugomvi ukapigana unaweza kuua.
Karibu Wabongo wote ni wagonjwa, ukitaka uthibitisho mwulize Babu wa...
Samahani doctor, nina tatizo la moyo kudunda kwa kasi bahadhi ya muda sio kila wakati, nimepima hospitali nimekutwa sina tatizo lolote.
Je tatizo linaweza kuwa nini na dawa yake ni nini?
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..
Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama
Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na...
Healing Cup
Rabbi Azulai's Healing Cup:After 30 years of practicing the Kabbalah and writing numerous talismans, Rabbi Azulai was able to craft a special cup that holds all the secretes to the...
Nimekuwa natibiwa hospitali za private zinazosifika hapa nchini na kuaminika, nilichogundua juzi kimenishangaza mno.
wakati nasuburi kumuona daktari wakaja watu wawili wamependeza na wameshika...
Natumaini mpo poa wanaJF,
Mie jamani naomba kuuliza ni kweli Mwanamke kama amewahi kutoa mimba kuna uwezekano mkubwa wa kupata mimba hata kama sio siku za hatari?
Naomba msaada maana mie nimeshindwa.
Msichana wangu wa kazi ameanza kupata siku zake toka mwaka 2008 na alikuwa hana shida yoyote mpaka juzi mwezi wa kwanza ameanza kuumwa sana na tumbo last...
Mu hali gani wataalamu? Tafadhali naomba mnipatie elimu iwapo kuna madhara yoyote (hasa "IKULU")kwa mtumiaji wa Laptop ambaye huiweka juu ya mapaja huku aki-internate kwa muda mrefu.Naomba...
17 March 2011
Daniel Mjema, Moshi
Ni siku za mwisho? Hili ndilo swali lililoanza kuumiza vichwa vya watu baada ya kijana mmoja kuibuka wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro na kudai ameoteshwa...