Ukikubali ukweli huu, utakuwa huru.
1. Mtu akifa hawezi kabisa kuwasiliana na walio hai
Mungu aliwambia Adam na Eva mkila tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya mtakufa hakika, Mwanzo 2...
Ninaombeni msaada wenu wana jf hususani Jukwaa la JF Doctor,Mimi nina mgonjwa ana limonia kali nimempeleka TMJ akapewa Rocephin certriaxone,na benzylpenicillin amemaliza dose lakini bado maumivu...
Naomba msaada wana jf,mke wangu kajifungua mwezi mmoja uliopita.Tatizo ni kwamba sijui ni njia ipi bora ya uzazi wa mpango isiyo na madhara kwani sasa natumia kondom inayonifanya nisi enjoy ladha...
Chama cha Waganga na Wakunga wa Tiba Asilia Tanzania (Chawatiata), kimedai kushangazwa na viongozi wa Serikali kupanga foleni mchana kweupe kupata huduma ya dawa kwa Mchungaji Ambikilile...
Michel Lotito (aka Monsieur Mangetout) from Grenoble, France, has been eating metal and glass since 1959. Gastroenterologists have described his ability to consume 900 g (2 lb) of metal per day as...
Hi to all jf drs!
Jamani naomba msaada katika hili, nina kijana wangu wa miaka tisa eti uume wake ausimami..yaani adindishi.. Nimejaribu kumfuatilia kila hasubui lakini naona hali iko vilevile...
Naomba msaada wenu, jino lilikuwa linaniuma, nikaenda kwa Dr Shabeer mtaa wa Jamhuri town, sasa dr akaniambia kuna tundu ninatakiwa kufanya root canal na charge yake ni laki na elf tisini...
habari zenu
jamani mimi nina matatizo ya miguu hasa mguu wangu wa kulia tatizo linakuja pale ambapo ninakaa kwa muda mrefu au nikichuchumaa na nikiunyoosha mguu unalia koo sa sijajua tatizo...
Habarini wana jf!
Naomba kujua je mama mjamzito kama amepata maleria anaweza kutumia hii dawa mseto ya maleria (ALU)?,
Je kuna madhara yoyote anaweza kuyapata mama au mtoto aliye tumboni?
Ni...
Habari wana jf,juzi 2lipokuwa hapa mtaani kwetu tukibadilishana mawazo kuna jamaa mmoja alituambia kuwa eti mtu hasa mwanaume akiwa na nywele ndefu kichwani zinamfanya akonde,je ni kweli?naomba...
Sex addiction might have once been seen as an excuse for high profile philanderers, but the condition is about to become formally recognised as a psychiatric disorder.
The addiction, in which...
jamani hii dawa ya kunjwa mkojo nimeikubali mbali yakuongelewa hapa jamvini nimewauliza madr kadhaa wasema nikweli kabisa leo nimejaribu asubui nikakinga kwenye glasi ile harufu tuu acha nikaribu...
Wana JF
Mimi ni mfugaji; nimeanza kufuga kuku wa nyama (broiler) miezi michache iliyopita. Nimeamua kuanzisha thread hii ambayo lengo lake ni kubadilishana uzoefu katika ufugaji bora wa kuku...
Habari wanajamvi, siku mbili zilizopita nilienda katika hospitali ya wilaya Tandahimba.
Nina tatizo ambalo linahitaji upasuaji mdogo lakini nilipofika nikaambiwa sitaweza kufanyiwa kwani...
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima!
Ni hivi mi nina tatizo la kifua linanisumbua kwa muda sasa.
kifua kinauma kwa ndani upande wa kulia hii hutokea nikiwa nataka kuamka kama nimelala au nimekaa...
Mzee wangu (74) ambaye late mwaka jana around October alikuwa diagnosed with NIDDM (Non-Insulin Dependent Diabetes Mellitus) today had his eyes examined at KCMC and lucky he hasn't got diabetic...
Kama ikitokea leo hii, magonjwa sugu mbalimbali yakapatiwa dawa, jamii ingefurahia na maadhimisho yangefanyika kwa mafanikio yaliyopatikana.
Lakini hata kabla tiba za magonjwa yote sugu...