Nina mdogo angu wa kike akiwa mwaka wa pili alipata mimba ki utani utani kama serious serious ila ndio ivyo kitu kikanasa
Akaona isiwe kesi akafanya siri tusijue akatoa mimba,ila kwakua bahati...
Habarini za humu natumai ni wazima...
Kuna ndugu yangu mmoja kaingiliwa na kunguni kwenye masikio toka mwaka jana anasema eti anasikia hao kunguni wakimuuma..
Je, kuna uwezekano wa kunguni...
Habari wadau,
Kama mada inavyoeleza
Kwa kifupi, at this age 45+ nimeajiriwa sekta binafsi (kampuni ya mawasiliano), nina wake 2 (wote ni waajiriwa wa serikali) na watoto 5 (mdogo kabisa ana...
Mwanaume anefanya mazoezi ya kuimarisha misuli ya uume hawezi kuwa sawa na mwanaume asiyefanya mazoezi haya sio tu katika kuimarisha nguvu zake za kiume lakini pia kuweza kujitawala katika tendo...
Swali fikirishi.... inakuwaje Sasa Hivi Mtu anaweza Kaa Hata Miaka 5 huku ana kirusi ch Ukimwi Ila Zile dalili z Mwanzo zilizokuwa Zinawapeleka Ndugu zetu kaburini hana.
Kuharisha kutapika...
Tetenasi ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria wanaoitwa ( Clostridium tetani). Wadudu hawa wanapatikana katika mazingira yanayotuzunguka mfano; ardhi, misumari au vitu vyenye ncha, vinyesi vya...
Sasa ni rasmi imegundulika ya kwamba kwa Vijana wengi nchini Tanzania wana tatizo la Kuugua Saratani ya Mapumbu / Makende / Makorodani ( Prostrate Cancer ) tofauti na Sisi Kaka zao wa miaka ya...
Ni siku ya nne sasa nabanwa na kichomi cha mbavu, nilienda hospitalini nikapima wakasema ni pneumonia inanisumbua nikapewa dawa nikatumia lkn bado maumivu yako pale pale hayajapungua,kimebana...
Habari wakuu nina mtoto ana umri wa miezi 8 na wiki 4, wakati anazaliwa kidogo alipata shida kwa sababu mama alishindwa kusukuma, ingawa Mungu alisaidia akazaliwa bila upasuaji.
Kutokana na hayo...
Habari, kuna jamaa yng wa karibu sana, anasumbuliwa na tatizo la kuvimba korodani moja la kushoto, kwamaelezo yke anasema korodani hilo limevimba hadi kufikia ukubwa wa yai la kuku, wakati lile...
Do you realize that 15 minutes can return your true sight without using glasses and eye contact lenses?
"The International Eye Hospital" offer up to 50% off to the service of Lasik Surgery that...