Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu ninaombeni msaada wenu kwani hili tatizo linanisumbua mwaka wa tatu sasa nimetembelea hospitali wananiambia litaisha lenyewe ile nizingatie afya yangu...
Habari wakuu. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina Dar es salaam. Anaefahamu please naomba aniambie mahali ilipo. Asanteni
Hbr ya jioni mabaharia wa JF niende kwenye mada.
Ni dawa gani anayoweza kutumia mtu aliyesex siku za hatari na hilo limebainika baada ya ucku huu na masaa 72 yameshapita.
Kuna dawa ambazo kwa...
Habari wanajf nawasalimu
Naomba aliyepitia hali ya kupata sukari kipindi cha ujauzito au yoyote aliyeona mtu mwenye hali hiyo tusaidiane kwa mawazo
Mimi ni mmoja wapo nna shida huu ni ujauzito...
Kuna dada flani ni best angu sana. Sasa mwezi huu kapitiliza siku zake kwa siku leo ya tano. Nimemshauri aende akapime, kaenda famasi ya kwanza majibu ni negative hakuamini kaenda sehemu nyingine...
Habari zenyu... Kama kichwa kinavyojieleza hapo... Wanasemaga unene ni shida ila kuna watu tupo kama ubao uliokauka...tunaitaji mwili.... Kama kuna mtu anajua njia za kunenepa...au ushauri anaeza...
Habari wa JF, naomba kuuliza juu ya athari anayoweza kupata mtoto aliyebebewa mimba akiwa na miezi sita au chini ya hapo. Je joto la mama ambaye mjamzito linaweza kumuathiri mtoto au kitaalam...
Kama kichwa kinavyojieleza ni jinsi ya kufanya uume wako ukisimama(ukidinda) uwe Kama msumari ulionyoka
ni rahisi sana
MAHITAJI
1.asali
2.vitungùu swaumu
3.kijiko kidogo cha kawaida
MATUMIZI...
Wakuu napata shida nikimeza chakula nasikia mamumivu makali kwenye koo upande wa juu wa puani kwa ndani.. Yani nahisi kama kuna kitu kinazuia .... Naombeni msaada wenu wakuu
Ni miaka saba sasa imepita tangu nipate tatizo hili la kuona na kusikia,macho yangu hayana maumivu ya aina yoyote, hayawashi, hayachomi wala hayanisumbui kwa chochote isipokuwa kutoona vizuri...
Ndugu zangu, yapata miezi 5 sasa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa sana kwa mgongo ( kwenye maungio kati ya uti wa mgongo na nyonga) chakushangaza nikiwa na hayo maumivu, mashine inakua ya baridi...
Wakuu, jana nimepitapita kwenye maduka hapa Dar nikitafuta dawa ya Aspirin lakini nikaonekana kituko. Najiuliza ni kipi kimepelekea dawa hiyo kutopatikana madukani?
Mwanzo wa tatizo
Tatizo lilianza mwaka jana August 2018 pale ambapo nilianza kuhisi maumivu yanayokuja kwa kasi na kupungua kifuani karibu na eneo la moyo. Maumivu hayo nilihisi yanahusiana na...
Habari zenu Wakuu. Natafuta kifaa special kwa ajili ya kumnywesha maziwa mtoto mwenye tatizo la cleft palate (special feeder). Yeyote anaefahamu vinapouzwa kwa hapa Tanzania tafadhali anifahamishe.