Habari waungwana!
Niende moja kwa Moja kwenye mada.
Kwa siku za hivi karibuni kuna tatizo LA Mimi kupigwa na shoti km ya umeme nikigusana na net ya kitandani na inauma kiasi na pia inanisababishia...
Wadau kwanza natanguliza shukrani kwa kuwa Naona jinsi michango ya hali na mali kama inavyoo onyesha
Naomba msaada kama kichwa cha Habari kinavyoo onyesha, ndugu wana jamvi kijana wangu...
Msaada tatizo la uume.
Kwanza mke wangu alikua na *U T I* Ametibiwa kapona ila mimi kuna tatizo kwenye uume kwanza unaota vipele vyeusi ambavyo havitoki halafu leo nimejichunguza kwenye tundu la...
Samahan waungwana Nina tatizo kurekebisha koo/kukohoa kwa kuhisi Kama nna kikohoo lakin sivyo.nimepima afya iko njema kifua Safi nikapewa dawa ikatulia kidogo lakin Tena Hali imejirudia.shida...
Habari zenu wakuu
Kuna jambo moja huwa, nashangaa sana. Kama sio kutaamaki.
Hii imetokea mara kibao tu na jambo la kunishangaza ni kwa wanaumee.
Unakutaa umekaa fresh mnapiga story mbili...
Mrs wangu ana ujauzito wa miezi 6, juzi akisumbuliwa na tumbo La kuharisha ikabidi nimpeleke hospitali ya private
Daktari akashauri afanyiwe Vipimo, ambapo hakukutwa Na Malaria, wala UTI...
Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo.
Ni kwamba mke wangu kajifungua ni siku ya tatu sasa hatoi maziwa hata tone. Yamegoma kabisa kutoka.
Kwa sasa mtoto anapewa maziwa ya Lactogen 1. Nina...
Wana JF n wiki mbili sas Nimekuwa nikisumbuliw na korodan zinauma mnooh yan nikizishika 2 zinauma sana na nikizikun ndo kaxhexhe
Nilikiw naomba ushaul nn cha kufny au n tatizo gan
Wakuu nawasalimu, Nilienda zahanati moja kupata chanjo ya homa ya ini! Kwanza waliambia lazima nipime homa ya ini!!
Wakanitoa damu, katika kupima kule akapima na HIV kwani nilimwona anatoa test...
Mrs wangu ana ujauzito wa miezi 6, juzi akisumbuliwa na tumbo La kuharisha ikabidi nimpeleke hospitali ya private
Daktari akashauri afanyiwe Vipimo, ambapo hakukutwa Na Malaria, wala UTI...
Wakuu moja kwa moja kwenye mada,.
nimekuwa na tatizo yani kati kati ya mapaja ambapo zile mbegu mbili zaegemea(zinapumzikia)naona kuna alama fulani imejichora na kisha huwa nikiwasha hutoka unga...
Jamani hivi ni sahihi kwa kojic acid kuwekwa kwenye vipodozi??
Hii ni miongoni mwa vitu vinavyong'arisha ngozi
Hydroquinine,steroid wote tunajua hivi viambata sumu hatari
Vipi kuhusu kojic acid?
Habari wapendwa madaktari..
Nilipata stretch marks (mazimola) tumboni na mapajani kwangu mara baada ya kubeba ujauzito..
Nimeshauriwa kuwa kuna vidonge vinaitwa vitamin E capsules vya kijani...
Kuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali.
Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua...
Habari wakuu
Nina mpenzi wangu ambaye amejifungua miezi mitatu iliyopita lakini tangu ajifungue kumekuwa na tatizo la mtoto kulia kila saa bila sababu.
Nilimshauri aende hospital lakini...
Nina siku ya nne leo,kila nikimeza mate koonkwa upande wajuu yaani puani napata maumivu makubwa. sasa sijui tatizo ni nini? naombeni msaada wenu ndugu zangu.