Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kama heading inavyojieleza, takribani wiki sasa ninapata break fast na lunch pekee wakati jioni naweza kula matunda na grass moja ya juice au maziwa mtindi. Diet hii haihusiani na kupunguza mwili...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau Naombeni Mnisaidie Kwenye Msaada Wowote Juu Ya Tatizo Nililonalo La Kukawia Kufika Kileleni Wakati Wa Kufanya Mapenzi Maana Natumia Muda Mwingi Sana Hadi Inakuwa Kero, Nifanyeje Ili Niwe...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habarini wana JF, ningeomba kupata msaada juu ya hili. Nlkua nikicheza mpira siku sio nyingi sasa kwa bahati mbaya nilipigwa kichwa kwenye pua pembeni ya jicho upande wa kulia sikuhisi mauvivu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mtoto ana miaka 5 lakini anaharufu kali mdomoni, hata akipiga mswaki baada ya muda mfupi inarudi tena. Nini chanzo na tiba yake
1 Reactions
9 Replies
9K Views
Wadau, habari za humu, baada ya miaka mingi ya kwenda hospitali pindi ninapo umwa tu sasa nataka niende kufanya check up ungali mzima wa afya. Sasa nataka nikafanye full blood picture, sasa katika...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa habarini za muda! Samahani ndugu zangu,mwanangu anasumbuliwa na viuvimbe vinavyomtoka sehemu mbalimbali za mwili wake, na tulijaribu kwenda kupata tiba lakini bado tatizo lipo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu mwanangu amekuwa akisumbuliwa na tonsils tangu umri wa miaka minne, ila siku hizi haziumi tena km mwanzoni na hata mwanzoni hakuwa anaumwa serious kiasi cha kushindwa kula wala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu Salaam! Hapa home kuna issue tata kidogo! Kuna msichana ana umri wa miaka 18 na anakaribia miaka 19 hivi sasa! Ukimuona ana afya njema na haoneshi dalili yoyote ya upungufu wa kitu fulani...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Nina mdogo wangu wakike bahati mbay tuko wawil tu wazaz walishatangulia sasa huyu mdogo ang kumbe alipata mimba na kwa kuniogopa alijaribu kuitoa hiyo mimba sas kma week moja iv imepita alkuw...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa uelewa wangu👇 Homa ni kitendo cha joto la mwili kupanda adi nyuzi kadhaa ambayo husababishwa na maradhi kama malaria,typhoid,U.T.I na n.k. Swali;naitaji kujua kuna aina ngapi za (homa)tofauti...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ni mwaka wa 6 sasa mimi na mke wangu hatujamtafuta mtoto mwingine na hatujatumia njia yoyote ile ya uzazi wa mpango. sasa tumbo linamuuma sana tu kama wiki sasa (hii ni baada ya kuanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni kufahamishwa sehemu/hospital nzur ya kung'olea meno kwa maeneo ya bunju Hadi Boko.ahsanten.
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Mwenye uelewa au ambaye ashawahi kupatwa na hii hali naomba anisaidie, korodani na mapaja yamekuwa yanababuka pamoja na kutoa kijiharufu flani ambacho sikielewi wakuu,cha ajabu hata ukioga,hii...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Waku habari, Naomba kujuzwa dawa nzuri ya mafua maana yamebana haswaa iwe ya nzuri haswaa ili nikiitumia inisaidie haraka nipone nateseka na flue mno.
2 Reactions
18 Replies
23K Views
Huwa najiuliza hivi madaktari hawana utu kabisa? Yaani mtu anahitaji operation kwa hali na mali ili aokoe maisha yake. Lakini unaambiwa pambana upate laki 5. Hivi huwa haiwezekani kabisa mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni, ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani. So sad!
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari wana jamii doctors naomba msaada kuweza kufahamu nn suluhisho la huu ugonjwa wa U.T.I kwa dada zetu umekuwa ni ugonjwa ambao uwahishi kila wapimapo au wana kosea wapi maana dawa kama dawa...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Niliambiwa vichomi ni dalili ya ugonjwa wa moyo mara ya mwisho nimeenda muhimbili nimecheki ecg na echo vyote kiko sawa lakini hiki kichomi hakiondoki na Leo nimegundua nikinywa soda aina sprite...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari wakuu,ni miaka 2 na mwezi 1 tangu nimejifungua mtoto wangu wa kwanza, kwa njia ya upasuaji,kwa sasa nahitaji mtoto wa pili,je ni muda sahihi kiafya
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna wakati nilikuwa napata maumivu makali kwenye nyonga za ndani au naweza kusema nyonga za mbele wakati nikiwa nafanya mazoezi ya kukimbia na nilikuwa nahisi kama vile kitu kinavuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…