Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Heri wenzangu. Nina mtoto mwenye aleji na ngano.Mkate,mandazi,tambi,biskuti hagusi,akila tu,muili unamuasha,anajikuna hadi huruma,na tatizo akina wenzake wanakula na yeye anatamani,ndo hivo...
1 Reactions
43 Replies
13K Views
Nijibu ndiyo kwa sababu nimeongea uso kwa uso na KENNEDY MGOYEZI,anayeishi mkoani Arusha;ambaye ni shuhuda mmojawapo baada ya kutazama video ya shuhuda za waliopona ukimwi kwa njia ya maombezi...
2 Reactions
79 Replies
25K Views
Wadau nisaidieni, Je mtu mwenye HIV positive anaweza kutimiza ndoto zake za kitaaluma na kuendelea na maisha?? Mfano kusoma degree ya miaka minne na kufanya kazi na kuendeleza maisha ,hata kuwa...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Naombeni elimu juu ya hili jambo Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mim nina tatizo la kuwashwa hasa sehemu za katikati ya mapaja na kwenye ubavu chini kidogo ya mbavu pande zote. Je shida inaweza kuwa ni nin na je lipi suluhisho la ugonjwa huu, wajuvi nisaidien.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kijana anakisukari 30.8mm/L lakini yupo fit na anaweza cheza hata mpira Kwa kifupi kijana huyu aliugua tangu mwaka jana,anatumia dawa za kushusha sukari lakini bado ndo inazidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uotaji wa meno hutofautiana kati ya mtoto wa kiume na wa kike. Mtoto wa kike anawahi kuota meno kuliko yule wa kiume. Kwa wastani watoto wengi huanza kuota meno wanapokuwa na umri wa miezi sita...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wapendwa. Tafadhali naomba kujua kama huduma ya IVF inawezekana hapa Tanzania na Doctor ambae anafanya. Pia naomba kujua gharama zake. Naombeni msaada wakuu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Takribani miaka mitano nilikuwa napiga punyeto lakini kwa sasa nimeacha rasmi na kwa kweli namshukuru Mungu nimejitoa kwenye chama cha wapiga punyeto. Enzi hizo nilikuwa nikikaa sehemu na...
31 Reactions
89 Replies
17K Views
Fangasi ni magonjwa yanayoathiri ngozi, kucha na nywele, pia huathiri mdomoni na ukeni. Magonjwa haya huambukiza kwa njia ya kugusana ua kshirikiana nguo hasa za ndani na tauro. Hapa tutaangalia...
1 Reactions
4 Replies
18K Views
UNA MAUMIVU YA VIUNGO??? NA UNATUMIA DAWA HAUPONI? Yawezekana kabisa unatibu DALILI kuliko chanzo cha tatizo hilo. MAUMIVU ni matokeo ya athari ambayo imetokea katika msuli,mfupa,mshipa wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wana JF nina mtoto wa dada yangu ana umri wa miaka 10 jinsia yake ni wa kike,huyu mtoto ana tatizo la kutoka mikojo na muda mwingi ukimuacha kidogo unaanza kusikia ananuka mikojo,mwanzo nilijua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Baridi yabisi kutokea ndani ya mifupa wakati wa baridi husababishwa na nn?na dawa yake ni nn?
0 Reactions
2 Replies
22K Views
Nauliza wataalamu je tatizo la mkojo kuwa mchafu sana linaweza pelekea misuri ya uume kutosisimka kama awali?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo ni Siku ya pili najisikia maumivu makali sana kwenye mifupa ya kifua hasa nikitaka kujinyosha au nikilala ubavu. Je, nina matatizo gani au ni dalili ya nini?Thanks
1 Reactions
8 Replies
3K Views
[Hyperhidrosis] Mara nyingi huwa ni jasho inayotoka kwenye viganja vya mikono, unyayo wa miguu, sehemu za kwapani, na sehemu za makalioni [haswa kwa wanaume] hii hutokana na tezi zinazozalisha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kijana wangu (YUPO MBALI NAMI) ameniambai anaumwa ugonjwa unaitwa bucela (sins uhskiks ns spelling zake) Kwa kuwa nakaribia kunza mitihani ya semister ameshauriwa asianze dozi yake kwani...
0 Reactions
3 Replies
23K Views
Mwanangu wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja alipata huu ugojwa wa kubabuka ngozi nikampeleka kwa dakati wa watoto akaniambia huu ugonjwa unaitwa Pumu ya ngozi,akanipa dawa ya tube ya kupaka kwa...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Nichukue wasaa huu kukuarika rasmi ewe mpenzi na mfuatiliaji wa THREAD zangu naomba nichukue walau dakika zako chache niweze kukueleza kinagaubaga ni kwa jinsi gani unaweza kupunguza mwili wako...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana Jamii forum wenzangu. Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…