Heshima kwenu wanajukwaa..!
Ni muda mrefu sana nimekua nikitumia miwani ya macho...
Kwasasa ninafikiria kuanza kutumia contact lenses,kwasababu matumizi ya miwani kuna wakati yananipa changamoto...
Jamani wakuu mwanangu anahoma siku ya pili leo nimempeleka hospitali kapimwa hana maleria wala hana UTI wakampima kipimo kinachoitwa ESR wakasema ni 80 sijaelewa hii ni nini au ni ugonjwa gani huu
Ni matatizo ya kawaida na huwapata watu kuanzia umri wa miaka 45 lakini wengi husumbuliwa zaidi katika miaka ya 80. Mtu ambae hupata matatizo haya tabia zake hubadilika;
- hutafuta maneno wakati...
Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa.
Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo...
Baada ya askari wawili wa jeshi la polisi Tanzania, Nelson Mkonda na ASP Benedict Nyamatara kujiua kwa risasi ndani ya siku moja (juzi) ni vema kuangalia angalau juujuu mambo kadhaa, hasa eneo la...
Habar, rejea mada tajwa hapo juu
Ni siku ya pili nmekua nikihisi kama kohozi flan lipo kohon kila nkijatahid kujikoholesha lakin halitoki.
Naomba uelewa juu ya hili tatizo na jinsi ya kuliondoa.
Wapendwa kwanza kabisa poleni na majukumu ya wiki zima. Kutokana na kichwa hapo juu.Nianze moja kwa moja kwa kuwapongeza madaktari wenye moyo wa huruma na wakujitolea kuelimisha jamii juu ya elimu...
Natumaini wote mu wazima mpaka kufika hapa.
Naomba kushauriwa hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje kwa njia ya kawaida au mkasi?
Nilikua muhimbil earlier...
je, una maumivu ya viungo??
mgongo,shingo,bega,kiuno,nyonga,magoti,miguukuwaka moto,ganzi mikononi na miguuni????
Niulize swali nikupatie ufumbuzi wa tatizo lako .
Hasa hasa napenda kuulizia dawa moja nasikia iko huko Bukoba inatibu magonjwa mengi sana wenyeji wa huko mtaniambia, Lakini kikwetu dawa matata bingwa wa yote ni mwarobaini
Karibuni
Habari Za weekend. Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuna ndugu yangu ni mdada alipima kwa Wachina Dar akaambiwa ana Lupus. Je huu ugonjwa una tiba?
Make nimejaribu ku google naambiwa huwa...
Ndugu zangu naomba kueleweshwa kuhusu vitanda vya kufanyia mazoezi vinavyo tumia umeme,he ni kwa wagonjwa au hata wazima,na je,faida zake ama hasara zake kama zipo,kwani naona vimeenea karibu kila...
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?
Wakuu,
Heshima kwenu
Mada tajwa hapo juu, ninasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa sababu ya mawazo,
Sio siri ninateseka sana naombeni kwa wanaofahamu vyakula mbalimbali ambavyo huongeza...
Ukomo wa hedhi ni wakati ambao mzunguko wa hedhi huisha na kwa hali hiyo mwanamke hawezi tena kushika mimba-lakini ni vitu gani hutokea kwa mwanamke huyu wakati wa ukomo wa hedhi na kwa nini...
BBC News Swahili | Mwanamke mjamzito ajifanyia upasuaji na kutoa mtoto Tanzania - https://www.bbc.com/swahili/habari-48470420?ocid=wsswahili.chat-apps.in-app-msg.whatsapp.trial.link1_.auin...
Hellow wanajf miaka kadhaa nyuma nilikwa na UZITO kilogram 58 ambazo nimekaa nazo kwa takribani miaka mi5. Lakini miaka miwili ya karibuni niliongezeka kidogo na kuwa kg 63. Lakini Cha ajabu kwa...