Assalam alayqum, ni matumaini yangu mu wazima alhamdulillah
Jamani madokta wa jukwaa hili ninaomba msaada ni wakati gani mama au msichana akishajigundua yu mjamzito yafaa kwenda clinic? Kuna mtu...
Babu kagundulika ana tezi dume kapewa dawa ya kupaka, sijui haya ndio matibabu au kuna matibabu zaidi.
Naomba ushauri kwa wenye ujuzi au uzoefu wa kutibu au kuuguza huu ugonjwa:
1. Kuna matibabu...
Ninapo fanya kazi kubwa(nzito) hasa za ujenzi kwa muda wa siku 2 au 3 na kuendelea linapotoka jasho ngozi huchoma choma alaf ukiikamua km unakamua kipele huwa inachoma zaid. Je nn tatizo? Msaada...
Habari zenu wapendwa naomba msaada wenu kwa anayejua matumizi ya hii Dawa inatumika kutibu magonjwa gani, PREDNISOLONE
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naombeni kuongezwa uelewa. Kila nikiona ajira za kada ya afya zimetolewa naona vyeo au madaraja yanawekwa kama daktari msaidizi Daraja la pili n.k. sasa naomba kujua daktari daraja la pili...
Baada ya mhe rais wa JMT kutangaza kuwa gongo in kinywaji safi isipokuwa inapaswa kupimwa ili kujua kiwango cha alcohol kilichomo, sasa nawaletea faida za kunywa gongo. Faida hizi wanywa bia...
Nimewahi kusika moja ya madhara ya kupiga punyeto ni uume kusinyaa na kukosa nguvu za kiume.
Nilikuwa na uliza kuhusu kusinya kwa uume kwa maana kuwa mdogo. Kwa mfano ulikuwa una piga punyeto...
wana JF naomba kuuliza naweza pata wapi vifaa vya kupimia HIV je naweza kuvinunua? ni shillingi ngapi? nitavinunua wapi?? nataka niwe najipima kila siku nijue afya yangu
Wakuu habari, mfano mwanamke akawa majamzito, wakaweka makadilio kuwa atajifungua tarehe fulan, mfano tarehe 20.04.2019, Je dalili za uchungu kuanza, zinaweza kuanza wiki moja kabla ya siku ya...
1. Don't smoke (Usivute Sigara) Experiments from experts proves that smoking a cigarette after meal is comparable to smoking 10 cigarettes (chances of cancer is higher)
2. Don't eat fruits...
Wakuu habari za wakati? naomba msaada wenu wa kitabibu juu ya tatizo hili linaloniumiza kichwa
Mwanangu wa miezi mitatu (3) anasumbuliwa na meno ya plastiki, mtoto amekuwa akilia sana hasa wakati...
Jamani wataalam wa afya,nimeletewa case hii. Mke na mme wamepima HIV. Mke positive ila mme negative.Yaani tokea waoane miaka kumi iliyopita mke alikuwaga hataki kabisa kwenda Clinic. Hivyo...
Habari wakuu ndugu yangu mmoja kila anapolala na akiamka asubuhi,upande wa kushoto kwenye baji la uso huvimba kama uvimbe w kuumwa na jino ,lakini huo uvimbe haimuumi kabisa,baada ya masaa matatu...
Habarini wakuu,
Wiki tatu zilizopita nilikuwa nafanya jukumu fulani ambalo lilinilazimu kukaa kwa muda mrefu sana na kwa uzembe mkubwa kabisa nilipuuza kifanya mazoezi nakumbuka nilifanya mara...
Noma sana
Jana nimeanza kuendesha kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi. Jana nimeendesha kama mara sita, wakati usiku nimeendesha zaodi ya mara kumi. Jana Nimetapika sana pia Mwili unakuwa wa moto...
Wakuu,
Nina tatizo moja ambalo sijui kama binadamu wenzangu mnalo. Tatizo hili ni tangu nikiwa mtoto (miaka ya 70) na nimeendelea kuwa nalo.
TATIZO:
Nikikiangalia (au kusikiliza) kitu kwa muda...