Tunaambiwa juice ya huo mchanganyiko ni dawa ya kuondoa mafuta machafu mwilini na kupunguza uzito, lakini kwangu mimi imekuwa tofauti kabisa,kila nikinywa hii natokwa na mijipu mikubwa ajabu, nini...
DIMPLES hutokana na mapungufu katika utengenezwaji wa misuli ya uso inayoitwa zygomaticus major.Hali hii husababisha kujivuta kwa ngozi na misuli ya uso wakati wa kutabasamu,kucheka au kuonesha...
Poleni na majuku wakuu,niende moja kwa moja kwenye mada nina mke ambaye anaujauzito Wa miezi mitano na siku kadhaa ila shida mtoto anacheza sana na mke wangu ananiambia akicheke mtoto anajikusanya...
Natumai mpo wazima na hata wale walio wagonjwa nawaombea wapone haraka.
Nadhani kichwa cha habari kitakuwa kimewashtua chama cha wapiga punyeto pamoja na wenyeviti wao ila naomba muwe watulivu na...
Nahitaji ushauri wa kitabibu, mwanangu mdogo takribani miaka 2 amemeza pilipili mbuzi nzima nzima. Hali yake sasa ni nzuri tu japo wazazi tunamashaka ikipasukia tumboni hali itakuaje na mtoto wetu...
Habari wadau wa Jukwaa hili,
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mwili kuvimba mara nyingi ninapomaliza kula chakula uvimbe ninaoupata ni mithili ya mtu alietembelewa na mdudu.
Nimefuatililia...
Kama utaweza kula mkate wa kahawia badala ya mkate mweupe, mkate wa kahawia una fibre ambazo husaidia kusafisha utumbo mkubwa na kurahisisha upatikanaji wa choo.
Punguza ulaji wa nyama nyekundu...
Wana jukwaa habarini za leo
Napenda kuongea nanyi juu ya hili tatizo ambalo sikujua kama ni tatizo kubwa hadi pale ndugu yangu mwanaye alipougua.
Ipo hivi; ndugu yangu anavijana wanne na kati ya...
UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA KWA BINADAMU.
Binadamu hupata ugonjwa huu kwa kung’atwa na mnyama Mgonjwa(Mbwa, Paka, Ng’ombe nk)
Baada ya kung’atwa Virusi huzaliana na kisha kusafiri kuelekea...
Habari wanajamii.
Wakuu,mimi nina mpedwa wangu,alijifungua kwa operation-baada ya kujifungua yalianza matatizo ya mgongo kidogo kidogo,akapuuza.
But siku za hivi karibuni tatizo limekuwa...
#1
Jamani msaada ninavipele mkononi vidogo vidogo vinaniwasha sana usiku. vinataklibani miezi minne hata havitoki vipo kama shigles hivi mikono yote miwili vimenianza mwez was kumi na moja toka...
Asalam wakuu
kama kichwa kinavyojieleza kuna mdau ana miaka 30 ila anakumbwa na tatizo hili la kusahau kuliko pita kiasi je nini chaweza kuwa chanzo na tba yake ni ipi
Habari za majukumu wanaJf Dokta
Mim nipo kwa ndoa kwa miaka 2 lakni sijampa mke wangu mimba Ila nilpoenda hospital ya rufaa nikapma mbegu majbu yalitoka hivi aslimia53 zinajongea hovyohovyo na 7%...
Huwa nasikia sikia kuwa endapo wazazi ambao kundi zao za damu zinafanana na wakapata Mtoto basi huyo Mtoto atakuwa na matatizo mengi ya kiafya na hii huweza kupelekea umauti kwa Mtoto huyo.
KUNA...
Nina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi ambao umefanya nihisi kama ulimi umeungua na chai yamoto vile.
Nimejaribu kwenda kwenye Duka la dawa nikapewa vidonge vya vitamin C.
Nimetumia...
Wadau habarini za majukumu? Dogo kaenda hospital kung'oa jina kaambiwa pia ana tonsil stones Sasa huu ugonjwa unasababishwa na Nini na dawa yake Ni ipi? Karibuni kwa michango