Kwenu wataalam wa mambo ya afya!
Hivi inachukua kipindi gani toka siku ya kupata maambukizi ya VVU mpaka kuanza kuonyesha baadhi ya dalili kama kukohoa sana, kupungua uzito mpaka kuwa na magonjwa...
Wana JF nina group la damu AB(-ve).Je nikiolewa au kuoa mtu mwenye group zingine A,B,O,AB lakini ziwe positive kuna madhara gani?Naombeni weledi mnipe shule na kwa faida ya wote.Huwa tunaoa na...
Habar za asubuhi wakuu.
Nimekuja kwenu ndungu zangu wa jf naona kinamna moja au nyingne naweza nikapata msaada ata wa kimawazo najua jf ni wigo mpana umu kuna watu wa kila aina ivyo naweza nikapa...
Hakuna binadamu asiyefahamu nini maan ya mapenzi na kama wapo basi ni wachach sana na wanaweza kuwa hawafahamu kw maneno lakini kivitendo wanakuwa wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia na hata kwa...
Naombeni nijuzwe ni nini hasa mnakifanya kwa mzazi ambaye amejifungua kwa operesheni yaani ni kitu gani mnakiweka ambacho kinazuia ujauzito kuingia sikubaliani kabisa just ni bahati tu eti mimba...
Ndugu zangu salamu!! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ,baba yangu mzazi anaugua ugonjwa ambao umemsumbua kwa takribani miaka miwili sasa,kwanza mguu mmoja unakufa ganzi kuanzia kwenye paja...
Habari wadau, mimi ni member mpya wa jamii forums. Naomba msaada wa dawa zinazotibu;
Presha ya Jicho
1. Je dawa gani ni nzuri
2. Mtumiaji anatumia kwa muda gani?
3. Matokeo yana anza kuonekana...
Habari wataalam na wazazi mliomo humu, binti yangu wa mwaka mmoja kachemka ghafla jioni hii.Niko remote area hakuna hata hispital..nifanye ili kump huduma ya kwanza?
Ninafangasi katika vidole vya miguu hasa nikivaa viatu mara kwa mara zinatokeza, pia nina m-ba katikati ya mapaja na baadhi ya maeneo mengine ya mwili. Nimetafuta dawa ktk maduka ya kawaida na...
Naombeni msaada! Kuna madhara gani yanayoweza kusababishwa na kunyoa nywele zilizopo chini ya kitofu cha mwanadam au nywele za kwenye Kifua kuyanyoa kuna madhara gani yanayoweza kumpata binadam...
Habari wana jukwaa natumai hapa ni eneo husika kabisa kwa hili tatizo lililomkuta mpenzi wangu.
Mpenzi wangu ana ujauzito wa miezi minne na jana ndio alianza kwenda kliniki. Lakini baada ta...
Jamani msaada maana ishakuwa kero,nikishaoga tu Nawashwa Sana mgongoni na kichwani,nachomwa chomwa , tatizo linaweza likawa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
JF doctors, kuna raia amekuwa akitokwa na vidonda kwenye kiwiko cha mkono ( mikono yote miwili) na sehemu za mikunjo miguunu ( sehemu ya nyuma). Alipokwenda hospital DK. alisena ni allergy na...
Hi JF Members kama nilivyo eleza hapo kwa uzoefu wa muda mrefu sasa kila nilipokuwa natumia diclofenac kwa ajili ya kupunguza maumivu hasa usiku imekuwa inatokea asubuhi blood sugar...
Mwanangu anamiaka mitatu kasoro anasumbuliwa na hayo matatizo toka ana mwaka na nusu, ametumia sana antibiotics zinaisha nakurudi, sasa anatakiwa atolewe kwa ushauri wa daktari,
Naomba msaada wa...