Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Katika kukua kwangu nimezijua dawa za aina mbali mbali kila siku ntakua naelezea dawa nzozijua nkipata muda leo tuanze na sawa ya allergy mara nyingi mzio au allergy unawapata watoto wadogo kwa...
7 Reactions
14 Replies
7K Views
Wadau nimekuwa na tataizo la muda kidogo na nimeshakwenda kwenye hizi hospital zetu za wilaya kulingana na hali yangu tatizo halijajulikana kwa kweli. Kila nikitumia chai ya rangi hasa nikiweka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Drop over Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Naomba nisaidiwe kama Kuna mtaalam wa Magonjwa ya mfumo wa Hewa especially (Astic case) Au Pumu, Tiba gani ambayo naweza Kutumia au kuipata ili Kupona kabisa au Kupata nafuu Maana Kila uchwao...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Nashida na kitabu cha Epidemiology Manual CDc na Environmental Health for East Africa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
35K Views
Tusaidiane jamani kama kuna tiba za kienyej au hospitali kwa mwenye kufahamu dawa anijuze.
0 Reactions
12 Replies
96K Views
Habari zenu viongozi na madokta JF shida iko hivi;- Ni baada ya kupigwa sindano nane kwa wiki 4 bado tatizo lipo na ndio kwanza linazidi. Tatizo lipo hivi;- Nibaada ya kutembea na duu mmoja hivi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi nauliza tatizo la mwanaume kuanzia miaka 20 na kuendelea kuwa na maziwa linasababishwa na nini na jee tiba yake ni ipi ili yaondoke hayo matiti
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Kujiskia uchovu sana na moyo kupiga kwa nguvu na kwa haraka sana mara tu baada ya kula (nusu saa baada ya kula hadi masaa mawili sana sana breakfast na chakula cha mchana) Kuyumba yumba au kukosa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Namtafuta mshauri na mtaalamu wa ugonjwa wa ngozi, kwa mawasiliano anicheki kwa 0763674782 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
898 Views
After abortion how long will it take kurudi iwe kawaida yan hadi ukipima iwe neg?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
613 Views
UTAFITI: Wanaume wanapaswa kupiga puri (punyeto) mara 21 kwa mwezi ili kujikinga na ugonjwa wa saratani ya tezi dume. ~> https://www.health.com Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
habarini kama kichwa kinavojieleza ningeomba kujua bei za kusafishia meno yawe meupe. asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni baada ya kupigwa sindano nane kwa wiki 4 bado tatizo lipo na ndio kwanza linazidi tatizo lipo hivi;- Nibaada ya kutembea na duu mmoja hivi kama miezi mitatu iliyopita nikaanza kusikia muwasho...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Naomba kujua dalili za mwanzo kabisa za kifua kikuu,,
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Mazoezi ya kichura chura yanasaidia sana kukaza misuli iliyo athirika kwa ajili ya punyeto Pia yanasaidia kupeleka damu nyingi kwenye uume hivyo kuupa nguvu uume na kuufanya usimame kikamilifu...
1 Reactions
42 Replies
14K Views
Habari zenu wana jamvi, ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima. Ninakuja hapa kwanza kakutoa shukrani kwa wadau mbalimbali ambao hutoa michango yao ya kitabibu ambayo imekua msaada mkubwa sana...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Nina ugonjwa siku nyingi sasa yani nikimaliza kuoga kama dakika 2 mwili wote unaanza kuwasha najikuna hadi nusu saa baadae unapoa. Nimetumia dawa za aleji lakini wapi naombeni msaada nitumie dawa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba mwenye email ya Bochi hospital anisaidie!
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…