Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu anayefahamu hospitali yenye specialist mzuri wa ngozi tafadhali naomba anielekeze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa wale wataalam wa afya mfano wauguzi, madaktari na ma lab technician wanaokutana na mazingira mengi ya kushika damu za wagonjwa. Ajali kazini hutokea mfano daktari anamfanyia OP mgonjwa ambaye...
0 Reactions
3 Replies
676 Views
Hivi course ya clinical officer unajihusisha na mambo gani hasa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
895 Views
Habari wakuu nimeungua hapo na pasi niliona kawaida ila pamekuwa noma dawa gn ya asili au hospitali nzuri papone Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Mara nyingi nimekuwa nikisikia kwamba ,endapo mwanamke atakuwa katika siku zake za hatari,Kama akishiriki tendo takatifu bila kinga na endapo wakati wa tendo akafikishwa kileleni basi yale manii...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa vile Mimi sio mtaalamu wa mambo ya uzito ninaomba wenye uelewa wa uzito wa mwili anipe ufanunuzi kidogo(ila asiwe doctor uchwara) Nina urefu wa mita 1.78,Nina kilo 58kg je?uzito wangu...
0 Reactions
6 Replies
817 Views
Teknolojia mpya ya meno imeingia nchini kwa mujibu wa daktari wa meno katika television ya taifa TBC leo na ameshauri Ulaya kamwe hawang'oi jino bali wanakarabati hivyo tuachane na misemo...
2 Reactions
90 Replies
16K Views
Ghafla nimepatwa tatizo uume wangu hausimami, tangia utotoni sijawahi kupatwa na tatizo ili nilikua nikifanya tendo napiga goli 5 za kuunganisha bila kupumzika, nimeoa mwezi wa 8 mwaka jana mke...
3 Reactions
71 Replies
18K Views
Tatizo langu nime vimba tezi moja kooni afu kuna viji uvimbe pembeni mwakoo kwandani nisha enda mnazi mmoja hawaja nambia tatizo zaidi wame nipa dawa na hazija nisaidia Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
5 Replies
711 Views
Kooni kwangu kuna uvimbe wa tenzi una nisumbua sana na nime enda mnazi mmoja wame nipa dawa hazija nipeni ushauli ndugu zangu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman habari za asubuhi?mimba yangu ni ya miezi miwili na wk moja.lakn leo asubuhi nimeshangaa kuona damu kidogo inatoka.je inaweza ikawa nitatzo madokta?
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Sikio linauma yaani sasa hivi latoa maji maji sijui usaha kuna wakati nilikuwa nahisi latokota ndani sasa nimetumia amoxyln na panadol bado lauma sasa sijui nifanye au nifanyeje kesho nitibu sikio...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Hellooo Poleni na majukumu ya kila siku, mi mjamzito nilipima ultrasound nikaandikiwa majibu ya tar ya kjjifungua lakin sasa najisikia maumivu kweli kuzunguka kiuno na yanakuja na kupotea. Swali...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Salama kwa hapa Dar ni wapi naweza pata sehemu wakaniandikia cheti kwamba nishawah chomwa chanjo ya Surua asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kipindi ulikuwa unawasha hivi nikatumia kila aina ya dawa na hasa zile za aleji, napona lakini nikisha acha tu, naendelea kuwashwa. Mwisho nikaacha kuhofia usungu. Nikaendelea kuwashwa ...
0 Reactions
24 Replies
15K Views
Ninasikia maumivu makali chini ya tumbo upande wa kulia kati ya kitovu na kibofu cha mkojo pia maumivu hayo husambaa mpaka kwenye mguu wa kulia. Kuna Doctor nilimwelza akasema ni kidole tumbo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo, kuwashwa njia ya haja kubwa, tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujaa gesi na kichefuchefu. kuna baadhi ya watu...
1 Reactions
10 Replies
23K Views
Habarini wana JF, Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa. Mwili wangu unachoka kuliko maelezo, Sisikii hamu ya kula, Nimeshaenda fanya...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu Naomba kuuliza kwa wale wazee wa maabala, Kuna hospitali moja nimetembelea nimekuta wanatumia hii blood tube holder kwa zaid ya mtu mmoja (reuse) yan wanachofanya ni...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Wataalam wa utrasound, (sonographers) nisaidieni kusoma maelezo hayo, na mnisaidie kufafanua kitaalamu, hasa kwenye FHR na GA.... Wife alienda kufanya vipimo, but kama mnavojua wajawazito wanakuwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…