Mwanga wa jua una faida lukuki katika mwili wa mwanadamu hasa wagonjwa. Hospitali za zamani zilikuwa na utaratibu wa kuwatoa na kuwaweka wagonjwa maeneo ya wazi ili wapate mwanga wa jua.
Siku...
KWA ALIELIANZISHA NAOMBA KUJUA TUMWEKEE SANAMU WAPI
HAPA UNAWEZA KUSAIDIA FAMILIA YAKO KUISHI MIAKA MINGI
WAPO WALE WAZEE WA KAVU UKIONAA MAGONJWA YAKE NA MAPICHA PICHA NAKWAMBIA UNAKOMA HAKO...
September 5, 2024
Despite scientific findings explaining how vaccines trigger Autism, government and health authorities worldwide continue to ignore them.The problem apparently is rooted in the...
UBORA WA AFYA AKO YA AKILI.
Ipo haja kubwa ya kutoa elimu zaidi kuhusu maana ya afya ya akili na jinsi ya kujitambua iwapo uko na changamoto hii, watu wengi wanahesabu afya ya akili ni ukichaa...
Haya ni maendeleo makubwa katika sekta ya Afya.
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imemuaga Faith Mwinula (9), ambaye ni mtoto wa kumi na nne kupona ugonjwa wa selimundu baada ya kupandikizwa...
Habari wa wakuu!!
Nilikua nahitaji kujua kama kuna Dakitar au specialist au institution inayojihusisha na magonjwa sugu ya kuambukiza!!
Hapa tuondoe yale magonjwa yasiyoambukiza kama...
Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
Habari WanaJF,
Hatimaye nimepata ugonjwa wa kusahau vitu.
Natafuta mwanasaikolojia anisaidie namna ya kuondokana na changamoto hii.
Imefikia hatua nasahau vitu vya muhimu kama kula na kuoga...
Habari wadau
Nisingependa nieleze sana ila kiufupi napitia wakati mgumu sana nimekuwa nikipata shoti kama ya umeme kwenye mwili wangu kwa muda sasa kwani imekuwa ikitokea mara kwa mara ambapo...
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,
Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata...
Jirani kauguliwa na mtoto kumpeleka hospitali kupima Malaria kwa kipimo cha MRDT hakuna Malaria. Kufika usiku joto limezidi. Asubuhi akadamkia hospital nyingine alipofika kamueleza doctor kashauri...
wana group nimegundua watu wanapitia magumu kuhusu punyeto...
NAAMINI KUPITIA HILI SOMO UTANISHUKURU
SOMO MUHIMU*
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
Ili uweze kuacha kupiga punyeto fanya yafuatayo:-
β‘οΈAndaa...
Sababu za kijenetiki, vimelea, mazingira, mtindo wa maisha, na kinga ya mwili zinaweza kushirikiana na kusababisha magonjwa mbalimbali. Kila moja ya sababu hizi ina nafasi yake katika kusababisha...
Habari za kazi wataalamu wa Afya.
Nina tatizo la sauti yangu kutoka kwa kukwaruza.
Nimetumia dawa lkn sauti yangu halisi imekataa kurudi, naelekea kumaliza mwaka Sasa.
Naomba msaada kwa anaejua...
Samahanini wakuu.
Ijumaa usiku nilifanya ngono sna na mwanamke mmoja sasa hali imenobadilikia jpil na leo yaan napata Homa kali usiku na maumivu ya kichwa kwa kipindi cha mchana.
Pia nimetoka...
Ni mzizi ulio na faida kubwa sana kwa afya. Vyanzo vya kihistoria vinataja asili ya mzizi huu kuwa ni Kusini mwa bara la Asia.
Hupatikana kwenye familia kubwa ya Zingiberaceae.
Kwa mujibu wa...