Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa...
Hakika nimeshangazwa na Uongozi wa Hospital ya Regency kutoza tozo la kumwona Daktari mara mbili kwa ugonjwa ule ule.Jana tarehe 6/9/2018 nilienda kutibiwa pale.Nikatimiza masharti yote ikiwa ni...
Habari za usiku waungwana,
Nauliza ni hospital ipi nzuri au duka la miwani ambalo wanapima macho na kutoa miwani hapa DSM?
Natanguliza shukrani za dhati
Natural Therapy For Headaches!
In about 5 mins, your headache will go.......
The nose has a left and a right side.
We use both to inhale and exhale.
Actually they are different.
You'll be...
Dawa zote za meno za kiwandani zina pombe kiwango cha kati 20% 25% [emoji16]
Tumia maji ya uvugu vugu yenye limao kusafisha meno yako na backing soda ( magadi ) kila asubuhi.
Karibuni kula wakuu
Faida ya Afya ya Kula Pilipili
Japokuwa Pilipili inaliwa na watu wa jamii mbalimbali, watu wengi hawazijui faida ya kiafya za kula pilipili.
Kwenye pilipili kuna kemikali iitwayo Capsaicin...
Habari wana JF,
Mimi ni mpiga punyeto maarufu sana. Lakini punyeto yangu ipo hivi huwa nanunua condom alafu natoboa godoro alafu naweka maji kwenye tundu la godoro then napaka sabuni naanza...
Wakuu naandika huu uzi nikiwa na majonzi makubwa sana, naomba niende moja kwa moja kwenye mada
mwezi wa 8 tarehe 15 mke wangu alijifungua kwa shida sana katika hospitali ya serikali kwa njia ya...
Habari JF Doctor.
Kuna sababu nyingi za kuzaa mtoto mlemavu, za kiimani (MUNGU ndiyo mpangaji wa yote), kitamaduni (umerogwa, bahati mbaya) na sababu nyingine nyingi.
Mimi ninahitaji...
Habari zenu wakuu,
Mimi kuna tatizo linanisumbua kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka miwili, yaani nahisi homa kali, nawashwa kuanzia kifuani mpaka miguuni. Nimeenda hospitali nimepima...
Sikio langu moja la upande wa kulia linatoa saut fulan ivi zinaninyima aman si mchana wala usiku saut haziishi
Nipo njombe nauliza kama kuna hospital nzuri ya maskio maana ni mwez sasa umepita...
Nilikuwa ninatembea kama sehemu ya mazoezi ya asubuhi, nilikutana na mama mmoja umri waka utakuwa 50+. Tulisalimiana na alinieleza kuwa haamini kuwa ametembea mwendo wa mrefu vile. Aliniekeza...
Homa ya mapafu ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Ni ugonjwa ambao unaua watoto wengi hasa katika nchi zinazoendelea duniani. Inakadiriwa kwamba watoto karibu milioni 1.6 walio chini ya...
Wanajopo habari za muda huu. Naomba yeyote ambae anafahamu ambapo naweza kumpata daktari mtaalamu wa maswala ya uzazi na magonjwa ya kinamama basi anisaidie kwakuniconnect nae,nina private shida...
Kitaalam sijui inaitwaje. Ila ni ngozi kuota vijinyama kama chuchu. Umri wangu 42 tangu vimeanza kutokeza ni zaidi ya miaka 7 iliyopita. Ila naona kama vinazidi na kukua pia.
Pia nina kijana...
Habari zenu wana JF?
Aisee kuna vitu binadamu inabidi tumwachie Mwenyezi Mungu tu jamani.
Niliooana na mke wangu 2013 na mwaka huo huo Septemba mimba ikatoka ya miezi mitano mtoto wa kiume...