Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wakuu MWEZI uliopita katika harakati zangu shambani nikajikata na panga maeneo ya goti nikawaishwa hospital wakanishona nyuzi Tano Hali ya kindonda inaendelea kuimarika ila bado gotiii...
1 Reactions
17 Replies
274 Views
Nisaidieni wakuu ili niliwahi kabla halijawa chronic
0 Reactions
7 Replies
245 Views
MARADHI YA KIHARUSI Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji...
13 Reactions
193 Replies
142K Views
Uzito wangu aupungui Wala auongezeki Kila nikipima
10 Reactions
29 Replies
648 Views
Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada, Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula...
1 Reactions
11 Replies
620 Views
Siuzi Hii miwani naitoa bure nilikosea kuagiza nikajikuta nimeagiza ya macho kipimo chake ni myopia -1.00 hivo mwenye kipimo hicho anitafute nimpe bure nipo Dar es Salaam 0657977457
2 Reactions
5 Replies
284 Views
Leo asubuhi nilienda kupata huduma pale ofisi za Jiji Dodoma! Nikiwa pale kwenye foleni kwa kwenda kuonana na mtoa huduma wangu,nilipata udhuru,nikasema ngoja niende maliwatoni nikapate huduma za...
3 Reactions
5 Replies
299 Views
Watafiti kutoka kituo cha utafiti wa usingizi cha Chuo Kikuu cha Loughborough Nchini Uingereza wamesema Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao...
4 Reactions
8 Replies
456 Views
HABARI Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa  AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo...
2 Reactions
3 Replies
457 Views
Wanajf ni siku ya tatu leo toka nifanyiwe ct scan ya tumbo. Ajabu tumbo sasa limebadilika. Linawaka moto.Kiuno sasa kinauma sana. Tumbo linaunguruma sana utafikiri vyura vinafanya mazoezi...
8 Reactions
132 Replies
17K Views
Wakuu wa JF nina tatizo moja naharisha lakini tumbo haliumi ila tu baada ya kula chakula huanza kukoroga mbaka nenda kuarisha baada ya hapo fresh tu ila ni ila tena inajirudia tena nina siku ya...
1 Reactions
4 Replies
287 Views
Wakuu habari ,naomba kuuliza iv full body chekup inaend kiasi gan? Pia kufanya ultrasound katika maeneo ya kifua inakuaje maana nina sehem inanipa vi maumivu kwa mbaali
3 Reactions
37 Replies
709 Views
Nimeishi na mke wangu kwa mwaka mmoja na nusu. Alipata ujauzito mara ya kwanza katika maisha yake, ule ujauzito ulidumu kwa miezi 3 kisha ukatoka. Akapata ujauzito kwa mara ya pili huu ulikaa...
11 Reactions
102 Replies
5K Views
Kutapika damu, pia inajulikana kama hematemesis, inaweza kusababishwa na hali mbalimbali za kiafya, zikiwemo: 1. Vidonda vya tumbo (Peptic ulcers): Vidonda vilivyo ndani ya tumbo au sehemu ya juu...
2 Reactions
0 Replies
262 Views
Natokwa na maziwa kwa miaka sasa, tena maziwa mengi. Bahati mbaya nikajishika nyonyo yanaruka. Hata (babe) akinyonya nyonyo ananyonya maziwa maana yanatoka tu! Ni kawaida au ni ugonjwa niende...
5 Reactions
12 Replies
773 Views
Wakuu habari za muda. Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea. Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina. Nimepima ultrasound bali sina...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa...
1 Reactions
8 Replies
716 Views
FAHAMU ILI KWANZA: Urinary Tract Infection (U.T.I) ni maambukizi ya vimelea vya maradhi kwenye mfumo wako wa mkojo. Vimelea hivyo vipo vya aina tofauti tofauti hata matibabu yani aina ya dawa na...
3 Reactions
0 Replies
353 Views
JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO? Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili...
9 Reactions
25 Replies
9K Views
Ndugu mnaosumbuliwa na vidonda vya tumbo, Tumezoea humu JF raia wakitoa ushuhuda juu ya dawa fulani kuwa imemsaidia kuponya matatizo yake na kushauri na wengine kwenda kuinunua hiyo dawa. Mimi...
8 Reactions
37 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…