Huwa najiuliza hivi kwanini wazazi sie wa kibongo haturuhusiwi kuvaa martenity dress zetu hospitali muda wa kwenda kujifungua na baada ya kujifungua, badala yake tunaambiwa kuvaa khanga.
Baadhi ya...
Habari wakuu,
Kwa wale waliowahi kulea watoto wagumu kulala mlikuwa mnafanyaje? Yaani mtoto mpaka saa 6 usiku anakomaa na watu wazima kwenye Tamthilia. Hata ukisema ulale mapema huo usumbufu...
Habari za muda huu wapendwa. Kama una mtoto asiyependa kula nina suluhisho. Kirutubisho cha MYCHOCO, inatampa hamu ya kula na kuimarisha kinga ya mwili maana ina madini yote anayotakiwa mtoto...
Ni imani maarufu sana kwamba wanawake wengi hunenepa hasa hasa hips pamoja na manyonyo(breasts) pindi tu wanapoanza kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara.
Hata hivo hili ni jambo la kusadikika tu...
wakuu habari za mdaa huu
Niliwahi kuwa muhanga wa punyeto kwa miaka 9 namshukutu Mungu 2013 niliacha na nikanikiwa kujitibu na nimepona
ishu iliopo uume wangu ni mdogo sana ukiwa umelala ila ni...
Nimekuwa na sumbuliwa na maumivu chini ya kifua kwa muda mrefu, choo kuwa na marenda, kizungu zungu hadi kichefuchefu na nimetembelea hospitali nyingi hadi sanitarium.
Mara ya mwisho nilienda...
Wapendwa hiyo hapo ni calendar ukitaka kuchagua uzae mtoto jinsia gani unaangalia miaka yako na miezi ya kubemba mimba hiyo ni calendar ya china Mimi naomben kupata uhakika hapa kwa walio na...
Misuli inayohusika na nguvu za kiume na kuwahi kumaliza wakati wa tendo la kufanya mapenzi huitwa ”puboccugeous Muscle” maarufu inajulikana kama Pelvic Muscle. Misuli hii inapokuwa dhaifu,uwezo wa...
Habarini za muda huu wadau.
Kuna mtu alishawahi kuniambia kuwa KY jelly zinazotumika kulainishia sehem za siri wakati wa kujamiiana zinaweza kutumika kuzuia mimba, je kwa wanaofahamu ni kweli...
MRC Tanzania
Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati
Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati
Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na...
Habar ndugu zangu, natokwa na uchafu mweusi ukeni nilipata shida ya kubleed nikaambiwa mtoto yupo vzr na Hamna shida yeyote ila sasa tangu Jana naona natokwa na uchafu mweusi kabsa ukeni nikienda...
Heshima zenu wakuu!
Naomba kujua ni muda gani unatakiwa kwa mwanamke aliyejifungua kwa operation kubeba mimba nyingine? Na je inawezekana kwa mwanamke huyo kujifungua mtoto mwingine kwa njia...
Hakuna kiwango cha unywaji wa pombe kitakachokuacha salama. Ingawa pombe inasaidia ku regulate mapigo ya moyo lakini inahusishwa kuwa chanzo cha aina saba za cancer.
Kuwa salama ni kheri kuacha...
Mtoto akianza kukaa ni lazima aharishe. Akiota meno anakuwa na homa kali na kuharisha. Akianza kutambaa hivyo hivyo lazima kuwe na kuharisha. Kusimama na kutembea anapitia hatua hiyo.
Swali kwa...
habar zenu wapendwa, naomba kuuliza mtoto wangu kuna jinsi ananyoosha miguu kwa kuikakamaza na answet anafanya ivo kwa sekunde chache na kuacha sasa imechukua almost 2 years, kapewa dawa za...
Ebola ni ugonjwa wa maambukizi ambao kimsingi kabisa ulipatikana kwa wingi nchini Uganda na asili ya ugonjwa huu ni kutokea kwa wanyama hasa maziwa, nyama, au damu.
Dalili zake ni :
~homa(fever)...
Tafadhali sana,wanaofahamu kuhusiana na suala hili, hebu watujuze.
Sisi wakazi wa mikoa sambamba na bahari kila siku supu ya kibua na chapati, kumbe watoto tutawasikia tu wakilia kwa jirani...
Wakuu salama? Na mpango wa kupunguza mwili, nimepiga mazoezi gym kwa muda wa mwezi mzima lakini sipati matokeo nilioyatarajia. Kuna jamaa kanishauri kutumia hivo vidonge vinaitwa hydroxcut. Kwa...