Salamu kwenu wanafamilia ya JamiiForums...
Natumaini mna uzima tele....kama hivyo ndivyo basi tabasamu kama ishara ya upendo na furaha yako.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni hitaji nililonalo juu...
Tunaambiwa chai ni kinywaji cha pili kikuu na mashuhuri duniani baada ya maji. Kinywaji hiki kina ladha za aina mbalimbali na mara nyingi hunyweka ikiwa ya moto, lakini wapo pia ambao huinywa...
Mgonjwa wa mafigo ameambiwa mafigo yote yameshaharibika, njia pekee nikupata mtu kumpa moja.
Hivi sasa anasafishwa damu kila baada ya siku mbili tatu.
Jana kuna msaada wowote wa dawa za kiasili...
naomba msaada kwa wale wataalam wanaojua hizi Condom, zipi ni nzuri kwa matumiz ya binadamu??
siyo kwamba nachepuka!!, ni wasiwasi tu juu ya huyu mke jaman msaada plizzz...!!
Baadhi ya vyakula ambavyo sio rafiki kwa Mwanaume kuvitumia kwa Wingi ni vile ambavyo vina kiwango kikubwa cha Estrogen ambayo ni homoni za kike ambazo hupelekea kupungua kwa nguvu za kiume.
Nina ndugu yangu anasumbuli sana tatizo la pumu / asthma
Binafsi maspitali nimechoka nayo, mana diwa za kumpa afadhali tu alafu baada ya wiki wiki 2 mambo tena.
Hivi hakuna dawa za mbadala za...
Wanajamvi,
Nina kucha ambayo imeota nisivyotarajia kwenye kidole cha mguu inaniumiza, imegeuka mwiba kwenye mwili wangu mwaka wa tatu sasa je niing'oe ?
Msaada
Hakuna mjadala kuwa mazoezi ni muhimu katika mwili wa mwanadamu, na imethibitika kuwa utimamu wa mwili hupunguza matatizo katika utendaji kazi wa ubongo hasa yale yatokanayo na ongezeko la...
Habar zenu wana jamvi.......
Kuna tatizo ambalo linanitatiza mwenzenu,mwili wangu unakawaida yakuwa na joto maisha yangu yote kias ya kwamba mtu mwingine akinigusa anaweza akasema labda naumwa...
Habari wana JF,
Naandika kuomba ushauri juu ya hili tatizo la maumivu ya korodani ya upande wa kulia ambalo mara nyingi hunitokea pale ninapokua natembea au kukimbia kwa umbali mrefu. Tatizo...
Kansa ya matiti ni miongoni mwa magonjwa yanayowatesa wanawake wengi duniani. Lakini kumekuwepo na hisia tofauti juu ya maumivu ya kawaida ambayo mwanamke anaweza kuyapata kwenye matiti yake...
Hatari wakuu naomba kujua kwa wenye utalaam wa hii dawa nimeandikiwa doz ya siku 30 ya fluconazole lakini ukiangalia hivi karibuni nimekuwa nikipata mkojo wa rangi ya njano sana unaoambatana na...
Habari wadau wa JF.
Kuna rafiki mmoja anaishi mbali na mume na huchukua miezi hata minne ndiyo wafanye kwikwichi kutokana na umbali huo.
Sasa juzi mume kaja na kadai kamwambia kila Mara akija...
Kama jinsi kichwa kinavyojieleza, naomba mwenye elimu juu ya PreP, binafsi nina uwelewa wa PEP
Nimeona kwenye instagram kuwa Serikali ina mpango wa kufanya majaribio ya PreP
Hili ni swali,
Kuna baadhi ya dawa tukipewa na madaktari huwa hatushauriwi kutumia maziwa, naomba kujua kwa anaefahamu kama dawa zinazoongeza vitamin zina athiriwa utendaji kazi wake kwa namna...
Habari ya wakati huu.
Nina mwenza wangu (KE) anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa ukeni(pembeni mwa uke kwa nje). Tumeenda hospitali mara kadhaa lakina tatizo limekuwa likijirudia rudia tu. Naleta...
Kwema Wakuu,
Leo weekend niliamua kumpeleka Kijana wangu mdogo hospital akachekiwe masikio na pua maana wiki yote hii ana Mafua na analalamika masikio na pua vinamuwasha. Hii hospital inasifika...
Habari wakuu
Hivi karbuni takribani wiki mbili zilizopita nimekuwa nikitokwa na vijipele vidogo vidogo, ambavyo vinawasha kweli kweli ukivikuna vinatoa maji halafu vinazaa vingine kama vitano...
Nina tatizo la kupata mafua mara kwa mara yaani naweza kua nayo na baada ya siku moja au mbili yamekata na baadaye kurudia tena
Hivi husababishwa na nini?