Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wasaalam ndugu zangu wa jukwaa hili mwanangu ana miezi 9,hvi karibuni amekuwa akiharisha sana na kutapika sana,nlipompeleka hospitally alipewa dawa za kutumia lakini mpaka zimeisha hajapata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je, makundi ya damu kati ya mtu mweusi(mwenye asili ya Africa) na mzungu au mtu wa race nyingine yataendana tunaweza kuongezeana damu? Na kama jibu ni NDIO kwanini bado kuna ubaguzi kwa watu weusi?
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Nilifanyiwa upasuaji miaka miwili iliyopita, nimekuwa nikipata hali ya kuwashwa mshono nyakati fulani fulani, ikiambatana na maumivu kiasi. Je, hii husababishwa na nini na kuna tiba yoyote?
0 Reactions
2 Replies
13K Views
Habari wadau. Natumaini hamjambo. Nimanzisha uzi huu maalum kwa wapenda mazoezi woote na wenye nia ya kupunguza uzito. Tunaweza kushirikishana mambo mbali mbali ikiwemo aina nzuri ya vyakula...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hv jaman ukipata jipu afu ukatumia dawa kulikausha linaweza kujirudia tena kama ile nyumba take haijatoka
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Utafiti unaendela kuhusu matumizi ya bangi athari zake na faida yake. Cha kushangaza kuna wasomi wazito wamegundua kuwa Bangi au Canabis ikitumika katika jamii tokea enzi za mitume ikiwemo enzi za...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
kipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau kama mlivyosikia kuwa serikali imepata kibali kutoka NIMRI kufanya majaribio ya dawa ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI,wakiwa na mpango wakuanza na mikoa 14 ikiwemo mkoa wa mbeya huku wakilenga...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimekua nikiskia kama stori tuu ila sina uhakika.Ivi ni kweli kua wakati WA usiku kuku huwa anakua na Sumu mdomoni mwake kwaajiri ya kujirinda? Anaefahamu naomba anisaidie tafadhari.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tangazo la chuo
1 Reactions
0 Replies
719 Views
Wataalamu naomba kuelimishwa hivi ni kweli chanjo(kinga) ya ukimwi imetoka
0 Reactions
7 Replies
957 Views
Waungwana leo nimeufya nimekutana na hili JANGA sasa vijana wenzangu hapa baada ya bint mwenyewe kunieleza ukweli na kunionesha Card ya Clinik ndipo nimeamini ila ndio wakati nimeshaanza...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Ndugu wapendwa, naomba msaada wa hii inaweza kuwa nini. Ninapata KIUNGULIA kikali kooni pindi ninapokula maharage. Kawaida KIUNGULIA kina kuwa kwenye kifua. Nikiacha kula maharage hali hiyo...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Nimekwenda hospitali nimeambiwa ninadalili za mshipa au busha. Ushauri wenu ili hali hii itoweke.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Natafuta gynacologist nina tatizo la kupata ujauzito
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninasumbuliwa na mgongo karibu na kiuno, tafadhar naomba ufafanuzi.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau ivi maumivu ya mishipa sehemu za uume na mishipa inayoshabiana na Kende husababishwa na nini maana nilikuwa napiga sana nyeto sasaivi nimeacha napata hali hii sasa jee Tatizo hili litaacha...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Wadau naomba kuuliza kuna uwezekano wa kujua jinsia ya mtoto kwa vipimo na vifaa vya hospitalini kwa mimba ya mwezi mmoja? Wenye ujuzi naomba kujuzwa
1 Reactions
27 Replies
39K Views
kumekuwapo na njia mbali mbali za kubashiri jinsia ya mtoto alieko ndani ya tumbo la mama mjamzito,baadhi wamekua wakisema eti mimba ikisumbua sana(mjamzito kupata shida mara kwa mara) ujue ni...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wana jamvi eeti kuna uwezekano wa kuchagua jinsia ya mtoto mana kuna rafiki yangu anawatoto wa kike pekee anatamani angepata wakiume hajui afanyeje ....?
1 Reactions
45 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…