Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Leon Bahati, Moshi WANASAYANSI wa Tanzania wameandika historia mpya ya kipekee duniani, baada ya kufanikisha utafiti utakaowezesha upatikanaji wa chanjo na tiba ya Ukimwi.Utafiti huo...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Taarifa nilizozipata toka kwa kina mama, zinasema wanawake wengi wa kichaga wavivu wa Ku-push na hata kama akipushi hizo kelele zake basi wodi nzima itajua yaani ni, Yesuuuu na Maria, Kiruuuuuu za...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Naomba anayefaham hii ni infection gani na tiba yake anisaidie....ninetumia betamethasone lakini haijaleta mabadiliko yoyote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Jf. Tarehe 11/2/2013 niliwahi kuandika hapa kuhusu tatizo langu la kutopata mtoto kwa muda mrefu. Wengi mliguswa na tatizo langu na mlijitoa kunishauri na kuniagizia kwa madaktari bingwa...
25 Reactions
61 Replies
7K Views
Sammy meals production ..tunakuletea unga wa lishe maalumu kwa ajili ya mama mwenye maziwa kidogo au hapati kabisa pia ni tiba ya kiungulia kwa mama mjazito..wasiliana nasi kwa 0767 626990 au 0752...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Habari zenu wana JF na poleni kwa majukumu Kutokana na JF kuwa msaada wa maarifa kwangu ndomana nipatapo jambo au kutatizwa na kitu fulani basi bila shaka huwa kimbilio langu. Wapendwa mimi ni...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kulipia bima ya haraka Nikiwa na maana kwamba nalipia leo keshoo naanza kuitumia,ni bima gani nzuri Namgonjwa amelanzwa muhimbili hana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa juu ya matumizi na faida ya Mustard Oil (Mafuta ya khadar)kwa anayefahamu, Tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
39K Views
Za jioni wapendwa, ninatokewa na hali ya kuhic ukungu machoni hasa jicho LA kushoto, mshipa wa shingo huu wa nyuma unakaza huku vkiambatana na maumivu makli sana ya kichwa, kutokwa na jasho jingii...
0 Reactions
9 Replies
908 Views
Habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nina watoto mapacha wana miez miwili sasa. Kiukweli wameanza kusumbua hivi karibuni nafkri ni kutokana na kutotoshelezwa na maziwa ya mama. Nafkria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mda mrefu kipindi cha nyuma nilikuwa nasumbuliwa na malaria isiyoisha na nilikuwa nikitumia dawa tu za kawaida inatulia na baada ya miezi minne au mitatu malaria ikawa inaanza tena Hadi kuna...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Mwalimu wa saikolojia aliingia darasani na bilauri ya maji. Baada ya kusabahiana na wanafunzi wake, aliinua juu bilauri ya maji na kuwauliza: "Kwa kutazama bilauri hii, pamoja na maji ndani yake...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari kwenu wana wa JF. Leo nimechukua nafasi ya kuandika makala hii ili ikusaidie katika suala la kuondoa haraka ili uwe na uwezo mkubwa wa kuvumilia.Haraka ni kitu kibaya sana.Mtu ambaye ana...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi waungwana mtoto ni lazima atambae ndo atembee kuna mbidada hapa ananisumbua kweli si wajua ukiwa umesoma kidogo. Mtoto mwaka mmoja hatambai wala kutembea kuna nini hapa?
2 Reactions
27 Replies
35K Views
Habari wana JF, Leo siko vzuri aisee nahisi maumivu ya moyo huku upande wa kushoto mwa kifua.. Yaan kama inachoma hivi then inaacha. So naomba mniambie dawa gani nitumie kwa tatizo/maumivu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf. .. Jamani moja kwa moja niende kwenye mada naomba ushauri juu ya suala hili linanipa wakati mgumu sanaa mm kijana mwenzenu. .... Kua hapo awali nilikua ninasumbuliwa na...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Saikolojia: fahamu magonjwa ya kisaikolojia common tanzania na tabia zake. Fahamu magonjwa ya akili ambayo yapo katika jamii zetu na dalili zake. Habari za leo msomaji wangu wa makala zinazohusu...
5 Reactions
58 Replies
19K Views
masikio yangu yananisumbua. yanakuwa kama yameziba na kama vile yana majimaji. mara nyingine yanawasha. nahitaji kumuona daktari specialist nitampata wapi?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Many people are living with HIV without knowing for a long time. But, experts have provided signs to guide you to know if you have it or not. According to HealthyLifeVision, in some cases the...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
SUNDAY HEALTH: Age, diet and history predispose to gallstones Dr ali mzige Daily News; Monday,June 16, 2008 @11:26 GALLSTONES (kokoto kwenye kifuko cha nyongo) are usually composed...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…