Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu khabari zenu, kwa anayefahamu hili tatizo tajwa hapo juu .."photoallergic contact demartitis" ni aina fulani ya allergy. Kwa mtaalamu yeyote wa allergy (allergistic) basi naomba anisaidie...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Habari wataalamu Poleni na hongera katika majukumu yenu yakila siku Wakuu naomba kujuzwa ni nini hasa sababu na suluhisho la tatizo langu hili lililonianza wiki ya Pili sasa. Wakuu nimekua...
1 Reactions
3 Replies
13K Views
Tupoe kwa mihangaiko ya hapa na pale toka tumeamushwa asbh mpk saiv tunakaribia kulala. Jamani wapendwa naomba msaada kwa hili kwani napata shida sana, mm huwa nikila karanga za aina yoyote za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je ni kweli kuwa ukiichanjia dodoki na uume wako kadri dodoki linavyokua kubwa na uume unaongezeka ukubwa?
4 Reactions
45 Replies
14K Views
Habarini za mida hii wana jf. Poleni na majukumu Nilikua naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na ukimwi kuanzia mwaka uliogundulika mpaka mwaka ulipoingia kwa wingi tanzania na afrika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Umewahi kusikia uvimbe uitwao , uvimbe_jini, au kwa kingereza "monster_tumor" hii ni aina ya uvimbe unaopatikana katika mji_wa_mayai_wa_mwanamke... pamoja na Ovary_and_fallopian_tube...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefikia msimamo huo baada ya kutafakari haya: 1. Kiwango kikubwa cha matumizi ya tumbaku. Nimebahatika kutembelea mikoa mbalimbali hasa maeneo ya stendi za mabasi na baa na kujionea kiwango cha...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Miss chagga kapotea kabisa hapa jf mara ya mwisho alileta uzi mwaka jana miss chagga rudi ata kwa siku moja
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajf nina kwa miezi saba nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya kibofu,njia ya mkojo,pumbu na uume nimezunguka sana hata kwa maurologist lakini sipata nafuu wala dawa nilizopewa hazijawahi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau wa Jf, Nina kijiswali ambacho mara nyingi huwa naulizwa na watu mtaani kuhusu upungufu wa nguvu za kiume, nilijua ni swali jepesi lakini pindi ninapojibu huwa napata changamoto...
0 Reactions
11 Replies
15K Views
Mwanamke akikamua matiti yanatoka damu tatizo nini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Mara nyingi nimekuwa nikienda hospital au maabara na friends wangu majibu karibia ya watu wote yanakuja sare.. Mfano vipimo vya malaria, typhoid na UTI majibu huwa yanarudi...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Week iliyopita nilikutana na tatizo LA kukohoa damu kama damu na cyo makohozi yenye damu week hii tena cku ya juma tano hali iyo imejirudia kwa muda mfupi tu kama 1dk. Naomba kujua tatizo hili...
0 Reactions
4 Replies
860 Views
Habar zenu walezi wenzangu naomba mnisaidie dawa ya kienyej ya mtoto kutembea
2 Reactions
27 Replies
32K Views
Wasalaaam.Mwanaume umri miaka 34 tatizo langu ni maumivu makali pembeni ya goti (sio goti zima)la mguu wa kushoto hasa kipindi cha baridi(Nipo arusha) ndio napata Haya maumivu Mara nyingi.Hi ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Naomba kujua faida na hasara ya maziwa ya soya kwa mtoto, na wapi naweza kupata bidhaa hii adimu" na inakuwa katika mfumo wa unga ama maji?? Asalaam.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
How To Manage Stress At Work?  Create A Plesant Work Environment  Manage Your Time  Avoid Feeling Guilty  Don’t Think That Your Are A Perfectionist...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumai mu wazima wa afya Mdogo wangu anakohoa sana usiku Siku mbili hajalala sababu ya kukohoa pia analalamika kupumua kwa shida sana na kifua kumuuma na kubana Tafadhali naombeni msaada was...
1 Reactions
10 Replies
12K Views
Wakuu, Mwenzenu magonjwa madogo madogo k.v. Kichwa kuuma, Kifua kubana, Msongo wa mawazao, na hata Maumivu ya Tumbo...huwa natuliza kwa Shots kadhaa za Konyagi, Malaria ndo ishaji-ban kabisa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…