Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndg wajuzi wa masuala ya kitabibu hawa kwa magonjwa yanayoweza kuzuilika /kuhepukika,, hivi mtindi una uwezo wa kuwasaidia watu wanaofanya kazi Kwenye maeneo ya vumbi? Kama ilivyo kwa maziwa...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Ndg Wana Bodi ya JF Amani iwe kwenu. Nina ndugu ambaye anatumia Dawa antiobatc ya Muwasho kwenye mwili ana dose ya Mwezi mzima. Wasiwasi wake je akifanya check up hali akitumia dose...
0 Reactions
6 Replies
905 Views
Kwa kweli hili suala mimi hua najiuliza sana na sijabahatika kumpata mwanamke nikamuuliza je na wao wanawake hua wanatikwa na manii kama vile wanaume hususan pale panapofanyika tendo la ndoa...
8 Reactions
111 Replies
184K Views
Habari wakuu, Naombeni kufahamu huu ugonjwa nilionao ni ugonjwa wa namna gani? Nikianzia hapa ni kwamba toka mwezi wa 6 mwaka jana nilikuwa najihisi kuchoka sana kwa shughuli ndogo ndogo kama...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari wanajamvi nimekuwa nikisumbuliwa na kuwashwa sehemu za siri takribani miaka saba sasa nimehangaika kutumia madawa mengi ya hospital bila mafanikio, imefika kipindi kwenye koo kumekuwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka...
0 Reactions
5 Replies
849 Views
Kwa mwanamke anayeshindwa kupata ujazito, hizi sababu tano zinachangia. Ni vizuri kujitahidi kuziepuka Baadhi ya sababu za mwanamke kukokosa ujazito
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiweza kufanikisha mazoezi haya, baada ya muda mfupi itakupa uwezo mzuri kitandani. KEGEL EXERCISE
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumivu yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka...
0 Reactions
1 Replies
15K Views
1.Misoprostal 2.Mifepristol
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Greatings JF, Hakika leo nina furaha ya kutisha! Namshukuru Mungu kwa hii siku ya leo[emoji120] [emoji120] .
1 Reactions
20 Replies
2K Views
A/alyekum na Bwana Yesu asifiwe Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema. Mwenzenu nilikuwa nina mpenzi ila hatukuwahi kukutana nae kimwili. Siku 1 alikuja home kwa ajili ya hiyo shughuli...
4 Reactions
125 Replies
11K Views
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Napenda kujua.Kipindi baada ya mvua kubwa za April kunyesha,watoto wengi chini ya umri wa miaka mitano(5 years) hushambuliwa na magonjwa yanayohusu mfumo wa upumuaji( mafua, kikohozi pneumonia (...
0 Reactions
6 Replies
838 Views
```Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.``` _Unapoamka katikati ya usiku...
1 Reactions
5 Replies
950 Views
Assalaam alaykum. Kwa anaejua dawa ya kuipa nguvu dhakar yangu anifahamishe kwa sababu haina nguvu hata kidogo. Natanguliza shukran.
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wa J.f nimepatwa na tatizo la kusikia maumivu upande wa kifua mkono wa kushoto, maumivu haya nilianza kuyasikia asubuhi nilifanya mazoezi ya push sana na skwashi..je tatizo hili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Mke wangu tangu nimemuoa naona maajabu chakula anapika viwili chake na changu chake hataki nikione, nikaamua kumchunguza anakula nini mpaka nisikione nimekuta anapika mende na...
3 Reactions
42 Replies
10K Views
Kuna wanawake hubadilika mzunguko wao kila mwezi. Kwa mfano 14 Mei, 18 Juni, 24 Julai, 26 Agosti, 30 Septemba, 06 Octoba, ... Inatokea hata mwezi kuwa na siku zaidi ya 36. Je hali hiyo inaashiria...
2 Reactions
35 Replies
21K Views
Ukitoa dawa za hospitali hakuna dawa mfano matunda au majani mengine ambayo c makali
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…