Tumekuwa tukifundishwa kuwa UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini,na VVU ni virusi vya UKIMWI..
swali langu la mantiki lipo hapa mtu akiwa na upungufu wa kinga ya mwili bila kuwa na virusi je,mtu...
Kukaa muda mrefu ukifanya kazi za ofisi bila kuinuka na kunyoosha viungo kwa kutembea na kijinyoosha ni moja ya sababu kubwa ya maumivu sugu ya mgongo hasa kiunoni. Wataalamu wanapendekeza mtu...
Hashima iwe kwenu madaktari mdau wa kike anaomba msaada afanyeje ili kuzuia tatizo alilonalo la kuingia kwenye siku zake mfululizo baada ya kutumia uzazi wa kutumia kijiti tokea amefungwa anasema...
habari wana JF
Nina rafiki yangu hapa anatatizo hili la kujihisi anapata maumivu kwenye sehemu za Kende(testes) yapita mwezi mmoja ana Tatizo hili na pia sasaivi Amekuwa hana ashi sana ya mapenzi...
Habari za saa hizi wanajamii
Ndugu yenu hapa katika harakati za kimaisha nimepata bahati ya kutembea sana kanda ya magharibi(kigoma, katavi. Njia za maji upande wa rukwa) kwa shughuli za...
Ninahisi ninaungua Kwenye Mashavu, Mabegani, na kichwani usawa wa Utosi. Wakati Mwingine vichomi vinanichoma kichwani. Sijajua tatizo liko wapi. Nimekunywa dawa sana ila bado tatizo linajirudia.
Habari zenu wapenzi? Naomba msaada wenu Mimi huwa napata maumivu makali kwenye mstar wa haja kubwa yani panakuwa panavuta kama vile mtu ananichoma na kisu kikinikamata huwa nashindwa kujigeuza...
HATUA
-Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu.
-Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele.
-Angalia mkojo wako umedondokea kwenye...
Habari wakuu
Naomba kujuzwa nikwanini mgojwa wa malaria akitumia kikombe
Halafu akaja mtu ambaye haumwi akakitumia anapatwa na ugonjwa wa malaria?
Wakati wataalamu wa tiba hudai kuwa malaria...
Jamani umekuwa ikinitokea Mara kwa mara kwa kipindi hiki.
Hapo mwanzo nilikua nakunywa pombe nyingi sana bila madhara yeyote ,pia nilikua napendelea pombe kali.
Lakini hali imebadilika kwa sasa...
Makala ya leo ni muendelezo wa magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo, na ugonjwa wa leo hujulikana kama Tundu katika moyo, au Tundu katika kuta za ventrikali za moyo, ni ugonjwa ambao hutokea mara...
MTU kupungukiwa na damu mwilini unaweza ukatumia vyakula gani na ili kuweza kuirudisha kwenye kiwango chake ? Ama kunavidonge gani unaweza ukapewa na ikarudi sawa
Utakuta unaota unaambiwa jambo la maana na mtu unayemfahamu au usiyemfahamu, kabla hajamaliza kukusimulia, mara anatoweka au ndoto inakatika. Pengine ungekuwa nusu macho, hii ndoto isingekatika...
Wadau mm nashida nanaomba unisaidie japo kwa ushauri n.k
Mm ni Kijana mwenye umri wa miaka 19 na Kwa majina Naitwa Nuhu ninasumbuliwa na maumivu ya kichwa upande mmoja , kikohoz cha muda mrefu...
Ndugu yangu ameingia kwenye siku zake(hedhi) maarufu kama Period kabla ya muda.
Kwa mwezi huu mzunguko ulitokea tarehe 6 hadi 10. Lakini leo kaona siku zake tena.
Tangu aanze kupata siku zake...