Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimepimwa hepatitis B ni hivi : HB2CAP96 160755iu/ml; je matokeo haya yanamaana gani kwa afya ya inni langu. Je nini nifanye..Nombeni ushauri wa dhat.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Salaam wana JF Nina mtoto wa kike wa miaka 5 Kwa muda mrefu huyu dogo hapendi kula ingawa vyakula kibao vyenye lishe anapewa Mtoto anaishi na mamake mi Niko nae mbali yani nipo mkoa mwingine...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Kwa mwanamke ambaye alianza siku zake za hedhi 05/03/..akamaliza tarehe 08/03/..,endapo atakutana na mwanaume 26/03/... je anaweza akashika mimba?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nina vipele vidogo vidogo kama vya joto, haviwashi, pia vina weupe kwa mbali huu ni ugonjwa gani na tiba Yake ni nn?? Naomba msaada
1 Reactions
7 Replies
856 Views
Habari Naomba kujuzwa tiba ya kuondoa wekendu katika macho na je wekundu unasababishwa na nini?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari jamii dokta NILIKUWA NAULIZA TATIZO LA MIDOMO YA CHINI(LOWER LIP )KUWA NA UTEREZI NA KUNGAA SANA LINASABABISHWA NA NINI? AHSANTE
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dah! Huwa nasikia tu kuna watu wazima wanakojoa kitandani but sijawahi kukutana nae mpaka week iliyopita ndio nikaprove. Kuna bidada mmoja tumetokea kupendana sana but tulikuwa hatujawahi kula...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
ndugu nimeng'oa meno mara nne licha ya kufanya dental clinin kila baada ya miezi mitatu lakini bado meno yananisumbua. Yanauma. Sitaki kun'goa tena naombeni mniambie ni dawa gani inatanisaidia...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Msongo wa mawazo unajulikana kama sehemu ya maisha ya kawaida. Mwili wako unaweza kuitikia hali hii kiakili na kimwili. Hata hivyo msongo wa mawazo unaweza kusababisha athari mbaya kwako.zifuatazo...
0 Reactions
17 Replies
24K Views
Ndugu zangu nahitaji ushauri wenu wa kitaalam mke wangu hajaziona siku zake (kuingia bleed) kwa miezi miwili sasa, mara ya mwisho ilikua tar 20 Jan tulipia kwa kipimo cha kununua tukihisi labda...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Msimu wa mvua na baridi huambatana na mafua na kifua. Dalili zinaweza kuanza na homa kali, inayobatana na joto la mwili kupanda. Ni mazoea ya wengi kutibu dalili hizi kwa antibiotics wakiamini...
16 Reactions
32 Replies
12K Views
Madokta nisaidieni maana ni ghafla sana nilianza na kuwashwa sana ikafata uchafu mweupe nikajua ni fangasi maana natumia choo cha public sana, nashanga kimeota kijikipele kama cha homa hapa juu...
0 Reactions
40 Replies
10K Views
Ninatumaini Pasaka ndio imeisha kwa usalama, Napenda kujulishwa kitaalamu hasa kwa waliobobea katika masomo ya baiolojia kipengele cha viungo na matumizi yake (anatomy and physiology). Hivi...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Habari,naomba msaada wa kuchagua hospitali ya kufanyiwa operation ambayo hawatanichana lakini wataniingiza chombo mfano mrija na kutoa uvimbe kati ya hospitali zifuatazo ipi inatoa hiyo huduma ya...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Huwa nasumbuliwa sana na usingizi (usingizi kuja mapema) hasa wakati ninapokuwa napiga kitabu usiku(Ni mwanachuo).. So naomba kufahamishwa kuwa nikitumia glucose inaweza saidia...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Mimin binti wa miaka 24 na nna mtoto mmoja wa kike namshukuru mungu kwa zawadi hii. Kinachoniumizana kunipa mawazo n kwamba nilipojifungua mwaka 2016 nilikuwa napata bleed kila baada ya wiki 2...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa na wakati mgumu sana, naombeni ushauri miezi kama mitano hapo nyuma kuna kama vipele vilinitoka kimoja kimoja nikachukulia poa tuu nikaenda navyo vikaisha ila vikaacha makovo...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!! Hali...
1 Reactions
142 Replies
13K Views
Salamu zenu wana JF, Leo nataka niwaelimishe wadada wanaopenda kupaka lipsticks mdomoni moja ya vitu vinavyounda lipsticks ni heavy metals kama vile mercury na silver. Madhara yake ni nini...
2 Reactions
126 Replies
16K Views
Na Dk Shita Samwel, Mwananchi KWA UFUPI Jicho ni kiungo ambacho binadamu anapaswa kuwa makini kukilinda maana kuwapo kwake kunasaidia viungo kutenda kazi vyema. Jana Tanzania iliungana na nchi...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…