Mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi,anaweza kunyonyesha maziwa yake na kuchanganya ya kopo kwa mtoto mwenye miezi2?na kama ukifanya ivyo mtoto atapata madhara gani?msaada wenu plz.
Salam!
Jamani bila kupoteza muda Mimi ninatatizo ,na nila hivi karibuni. Naota bila kufaham sometimes nakikumbushwa nakumbuka lakini sio kila kitu, wakati mwingine sikumbuki, najua kuota sio jambo...
The penis requires exercises to stay in shape. Similar to weight training, if you don't use it you lose it. The penis needs nutrients to keep its tissue and blood vessels in healthy. It...
Nikifanya mapenzi na mwanamke ananilalamikia kupata maumivu ya tumbo la uzazi baada ya manii yangu kumuingia Je nina tatizo gani kwenye manii yangu tiba yake ni nini?
Naomba msaada manake naona...
Ni kawaida kwa mwanaadamu aliye mzima kupenda kuwa na mtoto, na kwa namna ya upekee katika kuumbwa kwa mwanaadamu, hakuna njia nyingine yoyote ile ambako mtoto anaweza kupatikana bila ya...
Habarini wapendwa,
Naombeni msaada,
Ni takribani miezi miwili sasa nasikia maumivu katikati ya kifua changu, yaani sehemu ambapo mbavu za pande mbili zinapokutana sjui ni nini hasa, inanitokea...
Wadau me nasumbuliwa na mbavu zinanibana sana na siwezi kupumua vizuri nimepiga x-ray hakuna tatizo muda mwingine kiungulia kikali na tumbo kujaa gesi na kichomi upande wa kushoto mbavuni
Habari za wakati huu wakuu naomba kujuzwa je kuna uhusiano wowote wa ukuaji wa haraka wa ndevu pale zinaponyolewa kwa kutumia mashine za umeme?
Na ni njia ipi sahihi ya kuzuia ukuaji wake...
Hapo zamani za kale tuliishi kwa matunda an mizizi. Tulitembea umbali mrefu kutafuta mizizi an matunda haya. Mungu aliuwezesha mwili kuhifadhi chakula kwa njia ya mafuta. Hivyo ukikosa chakula...
Nina uume kwa urefu ni zaidi ya inch7 na upana kama mguu wa mtoto!
Awali nilikuwa naona kama sifa lakini hivi karibuni nimegundua yakuwa mke wangu hafurahii tendo la ndoa na mara nyingi amekuwa...
Habari zenu wana Jf natumaini mu wazima wa afya
Kama kichwa kinavojieleza sikio langu moja linasikia kwa mbali nilikua nkmelala jana mchana kuamka nikawa katika hali iyo
naombeni ushauli wenu au...
Abari za kazi,nina tatizo la mkojo yani kuna wakati nakojoa mkojo kma wa moto vile unaambatana na maumivu kwa mbali,lakni wakati mwingne nikinywa vitu kama maji,bia nakojoa mkojo wa kawaida tena...
Habari za wakati huu wakuu, poleni na miangaiko ya hapa na pale, kama isemavyo kichwa cha habari hapo juu ni ningependa kujua kama kuna tofauti kati ya hizo vipimo nilivyoandika hapo juu. Na kama...