Moja kwa moja kwenye mada ni katika hali ya kutaka kujua baadhi ya mambo wakuu hivi suala la upungufu wa nguvu, lipo kwa mwanaume tuu ama kwa mwanamke pia, na kama ipo je huko hali iko vipi ama...
Hello.. Mimi ni mwanasayansi na mwanatechnolojia wa Vyakula. Napenda kuwataarifu walewote wanaoshumbuliwa na magonjwa yatokanayo na vyakula mfano. KITAMBI,
NYAMA ZEMBE,
KWASHAKOO, UTAPIA MLO...
Huku nikisononeka naanza kuandika uzi huu.
Kifupi nimejariwa sura yenye midevu, ila katika chaguo la namna ya muonekano nilichagua kuwa nazinyoa na kuacha kidevu cha mbuzi
Mwanzo haikuwa tatizo...
refer threadhttps://www.jamiiforums.com/threads/mtoto-wangu-hapati-choo-vizuri.1415871/
nashukuru sana kwa ushauri wenu
tulizingatia ushauri ufuatao na mtoto anapupu kila siku sasa tena...
Jamani naomba kwa yeyote anayejua tatizo hili anisaidie,mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo basi mgongo huwa unakuwa kama unawaka moto maeneo ya karibu na kiuno;hali hii huwa inanifanya nikose...
Hbr za pililkapilika wana jf
leo ningependa kushare madaktari bingwa wa watoto kutokana na uzoefu kwa kutibiwa au kusikia
kwa upande wangu daktari namba 1 nikikwama kabisaa kwny hosptal za...
Dah! Hivi mtu mdomo unavyonuka mwenyewe unakuwa husikii au!?
Yan asubuh mida ya saa 3 nmepanda mwendokasi nmekaa na mtu mdomo kapuyaaaaa!! Af ye hana habari anaongea na simu tu tena kwa saut ya...
Kwenu wanabodi,
Nimekuwa nimefanya utafiti katika kupata huduma ya macho ambayo yamenisumbua tokea darasa la 6,nilikataa kutumia miwani mpka nafika umri huu miaka 22 nimefika chuoni naona sasa...
Habari wanajukwaa kama tunavyofahamu mtoto pindi anapokuwa tumboni hupata chakula kupitia mama yake kile anachokula na kunywa lakini nilikuwa nataka kujua kwa sababu kila unachokula lazima ukitoe...
Jamani habari zenu kama title inavyojieleza hapo juu nina ndugu yangu ana tatizo la uume na jirani yake unakuwa wadogo na kuzama ndani naomba msaada wenu kwa wenye utaalamu juu ya hili
Mimi hua nikipendana na mwanamke, akianza kunipa mzigo jua hapo amenitikisa. Yaani kwa wiki tunafanya siku 6 na nisha koma kukojoa nje.
Yani nikikojoa ni ndani kwa ndani. Ila hashiki mimba. Na...
Kwanza habari za wakati huu,
Mimi ni kijana kutoka jamii ya kimasai, wazazi wangu walinitoga masikio na kung'oa jino la chini kama mila na desturi za kabila letu. Sasa walinifanya hivyo nikiwa...
Habari zenu wakuu,,naomba kufahamishwa bei ya knee replacement pale MOI.Na pia ningependa kujuwa kama bima ya afya ina cover upasuaji huo.Natanguliza shukrani zangu.
Kama unapenda kula chips tafadhali soma hapa:-
Ulaji wa chips umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa figo, moyo , shinikizo la...
Wanajamii habari za Leo.
Leo juma tatu tareh 19/03/2018 nimeenda na Mke wangu kupima ukimwi baada ya kuwa na mimba ya miezi sita. Kiukweli hili jambo la kupima ugonjwa huu siyo rahisi kabisa na...