Wakuu nawapa mrejesho wa shida zangu baada Jana usiku kichwa kuuma sana katikati ya utosi...nkaenda pima dispensary nkaambiwa nna UTI25 na hypoid
Leo nkaamkia mloganzila kwenye clinic yangu ya...
Most of the widely used HIV test kits are based on technology that detects HIV antibody in blood or serum, this comes with certain drawbacks one of it being it cant detect presence of HIV...
Mara moja moja ukiamka asubuhi utakuta vialama vya udenda..(Kidogo)
Hii ni kawaida..
Ikitokea ukilala unatoa udenda mwingi kupita kiasi huenda shida ikawa ni:-
-Unazalisha mate mengi hasa...
Habar wakuu naomba msaada wenu kwa mara yakwanza tangu nizaliwe Leo usiku huu ghafla kichwa kimeniuma sanaaa katikati ya utosi.
Nimekimbilia dispensary nimepimwa
Sukari Iko 4.7,presha 125/76pr...
Wakuu,
Naomba kujua dawa ya vidonda nje ya mdomo yaan kwenye lips..
Kuna jamaa angu kababuka mdomo wa chini,,afu mda mwingne hutengeneza utando mweupe,,
Hali iko ivo jamaa anahangaika...
Habari, ficha ID yangu plz[emoji120]
Karibia miaka 6 Sasa nina tatizo la harufu mbaya ya kinywa hata nipige mswaki mara tatu kwa siku, bado hii hali inaendelea, na nimejaribu mara kadhaa kwenda...
Ndugu zanguni naumwa sana na spinal cord (hiki ni kinyama kinachofunikwa na uti wa mgongo upande wa nyuma kinaanzia shingoni hadi kiunoni)
Mimi panaponiuma sehemu mkabara na kifua (maumivu...
Kula Lishe Bora: Hakikisha mlo wako unajumuisha mboga, matunda, nafaka nzima, na protini yenye afya. Punguza matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, na chumvi.
Ni kama wiki hivi sina hamu ya tendo la ndoa, wala nikiamka asubuhi sioni kama mshedede unasimama!
Nikawa najiuliza nimepatww na nini?
yaan unakuta kanyamakazi kamesinyaaw😳….
Sasa juzi homa...
After promising results in monkeys, scientists plan to test the new treatment in a few people with H.I.V.
A colored scanning electron micrograph of a human cell infected with H.I.V., in...
Wanabodi, salaam! Ni mwaka sasa hili tatizo linanisumbua ( kikohozi kikavu) nimeenda hospitali mpaka nimechoka, nimekunywa dawa za hospitali na kienyeji mpaka nimechoka; kikohozi hakiponi...
Ndugu zangu nina tatizo linalonisumbua sana siku izi ambalo sikuwa nalo apo mwanzo ili kuwa ijuma ine nilipata ajali nikiwa
Moyo wangu ukakata tamaa ya kuishi maana nilivyokuwa najisikia hakika...
Baada ya kulalamika kwa muda mrefu kuhusu vidonda vya tumbo nilihamua kwenda hospital yenye vipimo vinavyoweza kuonyesha tumboni vidonda vya tumbo vimenihathiri kwa ukubwa gani...
Maelezo ya picha,Dawa inayotumiwa kuosha mdomo
Kuosha mdomo kunasaidia kupunguza maambukizi ya kisonono,watafiti wanaamini.
Utafiti wa hivi majuzi umeonyesha kwamba binaadamu wanaweza kubeba...
Maelezo ya picha,"Nilidhani mpenzi wangu anaenda nje nilipouguzwa HPV"
Utafiti mpya umebaini kuwa viwango vya juu vya ukosefu wa kujua pamoja na fedheha inayohusishwa na virusi vinavyosababisha...
Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao.
Hawa ni bakteria wanne ambao husababisha magonjwa makali ya zinaa ambayo yanaweza kuleta tishio la...
Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya afya inayolenga kudumisha hali nzuri ya afya ya uzazi imekuwa maarufu. Lakini suala hili sana sana linahusu afya ya wanawake wakati wa uja uzito, baada ya...
Na WAF - Dodoma
Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pale mchakato utakapoanza...