Wadau nawauliza je Jakaya kikwete CARDIAC INSTITUTE wanatibu kutumia kadi ya strategies,kwani mwanangu anaumwa ugonjwa wa moyo na sina pesa kwa sasa hivi je wanapokea kadi ya bima ya strategies...
Faida za mmea wa aloe vera au mshubiri
Na Fadhili Paulo kutoka fadhilipaulo.com
1. Huondoa uvimbe katika jicho
Weka kiasi kidogo cha majimaji ya mu-aloe vera freshi kisha kuamka asubuhi...
Za jumamosi wapendwa.nisaidieeni mwezenu uti unanisumbua sana.nishaachoma sindano kama mara mbili,vidonge ndio usiseme, lakini hali imerudia tena.
Sehemu za Siri nahisi kama inawaka moto,na...
Jamani naombani msaada, nina tatizo la kuugua magonjwa hayo matatu kwa muda wa miaka sita, nikitumia dawa napata nafuu ila baada ya wiki mbili nikipima na kuta bado ipo, hili tatizo linasababishwa...
Habari Wana JF,
Mke wangu ana ujauzito wa miezi mitatu hivi,
Mara nyingi anakua analalamika kua "tumbo linakua linavuruga",
Naombeni ushauri wadau labda je hii ni ishara ya kawaida tu kwa...
Habarini wakuu naomba msaada wakitaalamu kuna kitu kinachoma kifuani upande wa ziwa la kulia linavyochoma ni kama kichomi ila nashindwa kukiita kichomi kwasababu kipo kifuani na sio mbavuni...
Wife ana mimba ya miezi mitatu na siku, alipojua ana mimba tu nilimuomba kuanza kwenda hospital mara moja, alipewa vidonge vya Folic acid ambazo alizitumia kwa kipindi chote cha siku 30
sasa...
Habari wana jamvi.
Nimeona nifuate ushauri wa wajuzi na wazoefu kwenye tasnia hii ya masuala ya Afya na uzazi.
Niko na mahusiano na mwanamke kwa takribani mwaka hivi sasa, Imetokea hii January...
Leo nimeenda Hospital mmoja ya mkoa nimefika pale,nikaulizwa Nina bima ni kasema hapana sasa gharama ni kama ifuatavyo;
1.Kufungua faili -2,500/=
2.Kumuona dakitari-10,000/=
3.X-Ray-15,000/=...
Ukomo wa hedhi ni kipindi ambacho mwanamke anaacha kuziona siku zake kama ilivyokuwa tangu anavunja ungo. Kitaalamu, hiki ni kipindi ambacho mwili wa mwanamke unaacha kuzalisha homoni za Estrogen...
Ndugu zangu mama angu kapata kama stroke ila anatembea ingawa kwa shida, ila ana matatizo mawili, la kwanza kapoteza kumbukunbu, la pili ana shindwa ku sense pale anapohitaji kupata kujisaidia...
Jamani mwenzenu nina meno kama sita hivi yametoboka na tayari nishang'oa manne kwa sababu tofauti tofauti.Mawili yalikuwa yameota vibaya na mawili yalikuwa yametoboka haswaa hata kuziba hayafai...
Kila kitu alivyokiweka mwenyeziMungu usikichukulie poa, kina faida lukuki. Kulia ni kutoa machozi kwa uchungu au kwa furaha. Kulia kunaweza kuambatana na kutoa sauti ya kilio au kulia kimyakimya...
Hivi kahawa yenye mchanganyiko wa sukari na maziwa (3in1) sugar 15 g per saving inafaa kwa mgonjwa wa Diabete type 2.na kama inafaa mgonjwa wa aina hiyo anashauriwa aitumie mara nga
pi kwa siku?
Lishe kwa Mgonjwa wa Kisukari: Matunda ni chakula bora, lakini mengi yao yana sukari nyingi kwa hiyo ni vizuri kula si zaidi ya 2-3 kwa siku ukihakikisha kupunguza ulaji wa zabibu, embe, ndizi...