Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Kuna mdada anaomba ushauri huwa anakaa muda mrefu bila kugegedwa mzunguko wake wa hedhi ni siku 28 ila ikitokea amegegedwa mzunguko wake unabadilika hadi siku 35 asipogegedwa siku 28. Anaomba...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wadau salama huku. Mwanangu ana miaka 3 na nusu, inatokea mara kwa mara (kama mara 2 hivi ndani ya miezi 4) anakuwa na moto sana mwilini. Ukimpima kwa ile thermometer joto linaonekana la kawaida...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi ni tahadhari gani za kuchukua ukiondoa kuvaa condom kwa mtu mwenye HIV wakati wa kumla? Dr Tito
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Watanzania wengi tunadhani prostate cancer au Tezi dume ni mabusha. Tunaomba Wataalamu watuelezee hapa kitaalam namna Kipimo cha kidole cha Kati kinavyofanya kazi. Pia mashart ya dawa ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu,ni utafit wa wik1,.mstake jua methodology Okay,ni hiv,..kwenye ubongo wa binadam kuna sehem ambayo inatafsiri mambo yoote yahusuyo kutamani then inaamuru vichocheo kwenye mishipa na misuli...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wapenzi Naombeni msaada hivi kuna kipimo cha stress cha kutambua kuwa mtu ana mawazo? Maana naumwa nimepima kila kitu sinapati usingizi yani silali nakaa macho mpaka kunakucha...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Habarini Za Mchana Wana JF.. Naombeni Ushauli Juu Ya Hii Shida.. Pale nivuapo nguo ya ndani{boksa} huwa nakuta mabaki ya matone ya manii so najiuliza hali hii ni kawaida au ni ungonjwa? Naombeni...
1 Reactions
67 Replies
12K Views
Hellow Mtoto wa mwaka1 ana kg14 na n mrefu kias kwamba wasiomfahamu wanadhani yupo zaid ya mwaka mmoja,je ni sahihi kuwa na hizi kg kwa umr alonao?
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimejiwekea tabia ya kutokula au kutofanya chochote kwa kuwa nimemuona mtu fulani akila kitu hicho na labda akakisifia kwamba ni kizuri.Na pia kutofanya jambo lolote kwa kuwa tu eti nimemuona mtu...
7 Reactions
58 Replies
19K Views
Wadau, mara nyingi kumekuwa na sms zinazosambazwa kupitia social media, lkn hakuna mamlaka inayojitokeza kuzipinga au kuzitolea ufafanuzi. Sasa kwa mara nyingine tena, nimetumiwa ujumbe wa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
nimempima mpenzi wangu apo mimba ipo aipo
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Nimekua nikijiuliza bila kupata majibu yaliyokamilika kuhusiana na tabia ya baadhi ya wanawake kupiga punyeto kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume. Ni nini hasa sababu ya wanawake kujihusisha na...
3 Reactions
88 Replies
59K Views
A revolutionary eyedrop invention from a team of Israeli ophthalmologists has been found to heal damaged corneas and improve the vision of pigs. Clinical trials for humans are expected to begin...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Kwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wakuu habari za saa hizi, Nahitaji msaada, Kujua gharama za kujifungua kwa operation katika hospitali za private? Nina mwezangu ambae ni mjamzito sasa nataka kujianda kwa chochote endapo...
1 Reactions
15 Replies
11K Views
Wadau, Kuna jamaa yangu wa karibu leo alipima macho na ameambiwa ana pressure ya macho na amepewa rufaa kwenda hospitali kubwa zaidi kwa ajili ya vipimo zaidi, hii inasababishwa na nini na tiba...
1 Reactions
32 Replies
12K Views
Naomba kusaidiwa kujua jinsi yakuongeza uzito wa mwili
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Habari za jioni ndugu, Naomba nilete uzi huu kwa lengo la kuwasaidia waume na wakaka kwenye tatizo la sperm count. Naomba watalaam mjitokeze mtuoe elimu na solution yaani matibabu yake hususani...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Nina mpenzi wangu hii ni siku ya saba bleed haijaacha, na tumbo linamuuma sana likiambatana na homa mpaka namuonea huruma kuna dawa niliulizia nikampa ila haikuleta mafanikio yoyote yale msaada...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Mwanangu anaumri wa miezi miwili, kipindi cha nyuma mambo yalikua shwari hakua na tabia ya kulia usiku hivi karibuni tabia yake imebadilika na usiku wa kuamkia leo ndo imekua funga kazi, mtoto...
6 Reactions
63 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…