Habari zenu wana jf kuna mtu wa karibu yangu anapatwa na tatizo kwa siku kama mbili.
Anasumbuliwa na muwasho ukeni pamoja na harufu kali pia wakati wa kukojoa mkojo unakuwa wa njano sana alafu...
Habari jioni wapendwa,tafadhalini mwenye uelewa juu ya hili anisaidie nawaomba nimeugua maradhi ya zinaa zaidi ya mara tano au zaidi,kilichonipelekea kuandika uzi huu ni kwamba korodani...
Wataalam naombeni msaada wa kunielewesha nini maana yake hapo kwenye "4 chambers of heart"
report limetokana na upimaji wa ultra sound kwa mjamzito.
Mungu awatangulie.
Habari ya leo wana jamvi naomba kujua mjamzito kuumwa kiuno ni hali ya kawaida Kama si hali ya kawaida ni nini kinasababisha na suluhisho la haya maumivu ni nini?
Habari Zenu Wakuu
Refer to the topic above.
Well nimekua nikisoma faida za aloe vera kwenye internet kwenye afya na mwili wa Binadam na jinsi inavyoweza fanya ngozi ya mtu kuwa nadhifu na yenye...
wadau kwema??nimeng'atwa na n'ge mida hii,,na nimethibitisha baada ya kumuua,,nasikia maumivu makali sana maana ameniuma mkono wa kushoto,huduma ya kwanza ni ipi nijisaidie...
A shortage of HIV testing could undermine global efforts to diagnose and treat people with the infection, warn experts from the World Health Organization.
They looked at responses to annual...
Matumaini yangu mu wazima,
Ninahitaji msaada wa haraka, nimetokewa na uvimbe mdogo size kama tunda la mzabibu ni kidogo kwa nje hakionekani isipokuwa nikishika sehemu hayo ya taya ndipo nikibinya...
Habari wanajukwa!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu,
Naomba mwenye kitabu, au sehemu naweza kukipata iwe kwa njia ya mtandao au soft copy kama mtu anayo naomba kusaidiwa.
Kitabu...
Nilipata tatizo la jino langu kutoboka, kiasi kwamba nilishauriwa na daktari wa meno kung'oa, baada ya daktari kung'oa jino pamekuwa na maumivu kwenye pengo na kwenye fidhi karibu na pengo pale...
Wana JF Doctors nimeikuta hii pic mahali imenikera sio tu kimaadili ila pia nikafikiria kiafya pia kwa mimi ambae sina utaalamu mkubwa wa masuala ya afya nimeona hatari nyingi sana kwa mtoto huyu...
Habari zenu waungwana naomba msaada, nilipima mkojo na majibu ya vipimo ni Macro: yellow specimen Micro:puss cells 35 - 40 hpf je ni sahihi kuandikiwa ciproffluxin kama dawa kwajili ya hilo?
Nimeshiriki zoezi la uchangiaji damu salama la tarehe 10/02/2018 mkoani kilimanjaro lakini napatwa na tatizo la kuumwa na kichwa nyuma ya kisogo kwa chini je inaweza kua imesababishwa na...
Za muda huu wadau nianze kwa kusema kuwa nina muda mrefu sijafanya mapenzi ila siku chache nilianza kama kuwasha sehemu za siri.
Basi nikaambiwa nikipataka limao muwasho utaisha maana hiyo ni...
kwa sasa kuna wimbi kubwa la watu ambao wanasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume, wengi wao matatizo yao yanatumiika kwa kubadili mfumo wa maisha tu na wachache ambao wamejiharibu kwa kujichua na...
Habari zenu? Naombeni msaada jana nimechukua jani la mwalovera nimekatakata nimeloweka masaa 2 nikanywa nusu glass baada ya hapo usiku nimeumwa sana tumbo na kuharisha sasa sijui tatizo ni nini...