Nina group la damu AB yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
Tafadhali kwa mdau yeyote mwenye ufahamu wa hii biashara ya kupima magonjwa mbalimbali tuwasiliane au aweza kutoa elimu hapa ili itusaidie wote kukamata fursa.
Shukrani
Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika tunda la komamanga kuna kemikali zinazozuia kansa ya matiti isitambae mwilini.
Uchunguzi huo uliochapishwa katika jarada la Utafiti la kuzuia Kansa...
Binafisi nashidwa kujua ni muda au miezi mingapi mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa na kama atashiriki ndani ya muda huo ni madhara gani yataweza kutokea kati ya mama au mtoto.
IIgwee JF,
Nina mtoto wangu anapotumia dawa ya kusaidia kupumua kama vile amoxcilin huwa akivua chupi huwa imejaa uchafu.
Je, hili linatokana na nini na nini nifanye kuondosha tatizo lakutoka taka?
Ni kuhusu virusi vya ukimwi.
Nina dada angu ni nesi hospitali flani sasa mwezi huu alikuaja likizo nyumbani.
Bahati mbaya likizo yake ikaenda sambamba na mjomba etu kupata ajali ya gari na...
Habari wana JamiiForum,
Naomba kutambulisha kwenu AfyaTrack App. Application ya kwanza Tanzania kumuwezesha mama mjamzito na walezi wa mtoto chini ya mwaka mmoja kufuatilia maendeleo ya ujauzito...
Wadau kama mada inavosema, juzi nilienda hospital nkakutana na Dokta wa macho coz nna tatizo la kutokuona vzuri hasa mtu akiwa mbele yangu mita 50, baada ya dokta kuyachunguza macho yangu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Wadau habarini za usiku.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mchumba wangu amepatwa na hilo tatizo na tumejaribu Kuwaona wataalam wamempatia dawa lakini tatizo bado na si mara ya kwanza...
Wakuu Habari zenu.. Naomba Kujuzwa.. Ni hospitali gani dar es salaam watoa huduma ya chanjo ya Manjano?(yellow fiver)... Je bei yake ni kiasi gani? Wanatoa huduma Kila siku au Kuna siku maalumu?
Habari za leo wanajamvi..
Ninasumbuliwa sana na maumivu ya mkono wa kushoto yaani unauma hasa wakati wa usiku, sijajigonga mahali au kuulalia vibaya hapana umeanza tu kuuma muda sasa. Maumivu...
Ulimwengu wa sasa umejawa utandawazi mwingi.. Wadada wanatembea nusu uchi.. Picha na video kibao za ngono.. Hizi huathiri wanaume wengi maana wanakuwa wamekwisha yazoea maumbile ya mwanamke...
Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake...
Habari Wadau
Kwa wataalum niambie hivi hichi kipimo kinaitwa ECG kinapima nini na gharama yake ni kiasi gani na kinapatikana katika hospitali gani ha jijini?
Za leo ndugu wapendwa ninaomba msaada wenu ni na dalili za mimba ila nimeona siku zangu miezi miwili mfululizo na mwezi wa kwanza nilipima sikua na mimba maziwa yanakua yamoto nahisi maumivu kwa...
Salamu wapendwa,
Mwenzeni nimepata ajali kidogo ya kuchomwa na msumari mguuni. Maumivu yake hayaelezeki jamani mguu umevimba kiasi maana kama nchi moja imeingia.
So nitumie dawa gani wapendwa...