Mimi huwa napenda Sana kucheki afya yangu na hasa vipimo vikubwa Kama H.I.V ninaweza kucheki mara 3 kwa mwaka au chini ya hapo ila mwenzagu yeye ni mbishi wa kupima H IV balaaa...
Dooo doctor mimi sasa hii yapata mwezi na nusu naona dalili za ambazo zinanitisha, mwazoni kabla nilikua nasumbuliwa na homa za hapa na pale nikaendae mnazi mmoja nikapata vipimo vya kawaida sina...
Kwa mwenye kuijua hii dawa naomba maelezo kidogo, Nimesikia ni dawa nzuri ya asili ambayo inatibu magonjwa mengi ya mifupa mana mzee wangu kuna mguu unamsumbua na kuna mtu kanambia niitafute hii...
Habarini waungwana na shughuri zenu...
Lengo la kuandika Uzi huu ni kuomba msaada kwa anaefaham hali iliyonikuta Leo.
Sina kawaida ya kula Nazi na maji yake, lakini niliamua kunywa yale maji...
Kwanini Wanawake wote wanaonipa ushirikiano wao wa Kingono ( namaanisha ninaofanya nao ngono / mapenzi ) huwa nikishamaliza tu ' Kuwakojolea ' manii yangu ndani ya muda mchache tu huwa wanakuwa...
Naulizia kama kuna tiba au huduma yake ikoje, kuna mtoto ana ile wanaita Kimeo, hospitali wameangalia ameonekana nacho na nimewazuia wazazi kwenda mtaani kukikata, sasa naomba mnisaidie maana wa...
Ukosefu wa kinga mwilini jamani katika tiba asili, ni dawa gani zinauwezo mkubwa wa kupandisha kinga iliyo toweka katika mwili wa binadamu?
Natanguliza heshima kwenu.
Asclepius alikua mungu wa uponaji zamani za kale katika dini na imani ya ki-Giriki. Asclepius aliwakilisha uponaji katika nyanja ya utabibu, mabinti zake ni Hygieia (Hygiene, ambae alikuwa mungu...
Habari zenu? Nmekuwa na tatzo la kuskia vtu vinanichoma mwilini kama vile nachomwa na cndano au ktu chenye ncha Kali, na kuna wakat kiganja cha mkono wa kulia kuchezacheza yan kama vile una...
Jamani,baada ya kujifungua kwa njia ya kawaida,kumekua na mkanganyiko wa kutoka damu (bleeding) irregulary.Nilienda hospital nikapewa dawa ya kutumia,damu ilikata halafu baada ya muda ikaja bleed...
Kama kichwa kinavyosema hapo juu Leo nimeona nije na Uzi huu ili tuchukue tahadhari kuhusu wadudu hawa ambao tunaishinao miilini mwetu bila kujua, au kutokujua kanuni za afya.
Vimelea vya...
Hi jf doctors na wataalamu wote wa afya!
Nimekuwa na hali iliyoshamiri mwilini mwangu sielewi mishipa ile ya kijani inakaza haiyumi lakini nakereka naskia siko kawaida kabisa sambamba naya miguu...
Wakuu mimi kuna wakati huwa napatwa na ndoto za mambo Ya kuuzunisha sana ambayo hupelekea moyo kuwa na maumivu na uchungu mkali.
Sambamba na hayo pia nakua natoa machozi hadi shuka inalowa na...
I found out that, regular cranberry juice is better for bladder infection than organic cranberry juice because of the acidity of the preservative- benzoic acid.
Kuna ndugu yangu amevimba korodani ya upande wa kushoto kama jipu limekuwa
Na maumivu ya ghafla na kumnyima raha
Lina mdomo mdogo ambao hutoa majimaji likikamuliwa
Hospital alichoma sindano ila...
habari wanajamii ! mimi ninanduguyangu anamiaka 30 anatatizo la UTI anaambiwa uti sugu alipewa dawa haikusaidia akapigwa sindano za mishipa kwajili ya dawa kama marambili lakini bado mkojo ni...